Daudi Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 327
- 204
Zitto Kabwe bado ni kijana, he is energetic, powerful and well educated, tatizo lake anapotezwa na washauri alionao.
Kutoka mwisho wa reli haisaidii katika dunia ya leo. Hata Dar wapo wajanja kama wale wa mwisho wa reli.
Zitto bado ana nafasi ya kujijenga kisiasa kama atakaa chini na kujipima, akaacha kutumika kwa maslahi binafsi