PreGE2025 Zitto: Wizi wa kura ni uhuni

PreGE2025 Zitto: Wizi wa kura ni uhuni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,573
Reaction score
2,496
Zitto kabwe kupitia ukurasa wake wa X alipokuwa akimjibu Sativa ameandika kuwa

"Kanuni imehalalisha wizi wa kura? Wizi wa kura ni uhuni. Mtu anayefanya uhuni na hatendi kwa mujibu wa sheria hushughuliki naye kinyonge na kwa mujibu wa sheria. Oktoba #LindaKura Tunayo njia. #MuhuniHasusiwi"
 
..WIZI WA KURA == UHAINI.
 
OKTOBA TUNA ✔️
 
Attachments

  • IMG-20250613-WA0001.jpg
    IMG-20250613-WA0001.jpg
    74.9 KB · Views: 18
maneno safi sana, ila kuyatekeleza ndio ngumu. watz bado tumeregea sana kuweza kuapambana na wahauni kama ccm
 
Back
Top Bottom