Zitto: Wapambe wametufitini na Mbowe

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
5,098
Reaction score
1,341
Asema ipo siku watamkumbuka, amekemea wapambe walimfitini na Mbowe pamoja na chama.

Asema wametoka mbali sana na chama, aliyasema haya jana DSM
=============================




CHANZO: Mwananchi
 
Taratibu atatambua na kujuta kupambishwa na wafitini
Aombe radhi ili chama kimsamehe yaishe
 
Si huyu alisema Lissu ni kifaranga tu anamtafuta mama yao?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Alijiona yuko juu ya Chama sasa atajua nani zaidi kati ya CDM na yeye
 
Angekuwa anatokea kaskazini wala asingefitinishwa
 
Chadema inatafunwa na dhambi ya ubaguzi
 
Kwa makosa na uibifu aliyo ufanya ndani ya chama hatakiwi kusameweha
 
Kabla sijachangia naomba copy ya maneno ya ZZK kwenye gazeti!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…