Zitto: Waitara unazungumzia kumwona Lissu, wewe ulienda lini? Wabunge kila siku wana kesi za kupigania haki, hivi wauaji unaenda kushirikiana nao?

Nilifikiri zito atakuja kupangua hoja za mwita lkn naona amekuja kutafuta sympathy za kijinga. Aliyoyaongea mwita ndio hayohayo yaliyomtoa yy huko chadema.Au ttz ni mwita kaongea?Kuumwa kwa lisu kunamzuia vipi mtu kuhama chama na kwenda sehem anayoona yy ni sahihi kwa malengo yake aliyojiwekea?Eti lisu yuko hospital, so?Niliwah eleza hili la lisu kila mtu anamtazamo wake na katu hatuwez kuwa sawa,shida ni pale mnapotaka kila mtu afeel ka mnavyofeel hata ka ni kwa unafki basi naye afeel hivo.Msitumie lisu kuendesha hoja zisizo na mashiko.

Kaelezea kwenye hotuba yake kwamba chadema bila kuwa na kesi we sio kamanda,Je hizi ndio siasa?Je kama hakubaliani na fikra hizi abaki chadema anatafuta nini?Nafikiri zito kapotoka zaid na mbaya anatumia wasiojielewa kuonesha upotovu wake.Mwambie zito aje apangue hoja moja baada ya nyingine alizosema Waitara
 
Zitto ni mgonjwa mbona yy alihama, mwita kaongea ukweli mbowe ni mungu mtu chadema
 
1. Unasahau kwamba hizo gharama za kujitakia za kurudia Uchaguzi unnecessarily na wewe utazibeba 2. Wewe na Lissu nani anayejua mbaya wake? Wewe unajua zaidi kuliko mhanga mwenyewe? Mahaba yako yasikufanye kipofu wa akili.
Na hili la gharama ndilo wengi wanaoongea kishabiki wanasahau. Jamani kwetu sisi wananchi tunachohitaji si kurudiwarudiwa uchaguzi, unless na sisi pia tunachukulia maisha na muda kimzaha.
 
Chacha Wangwe RIP
Sijui kwanini mjuaji zito hajaongelea hii hoja zaidi kutaka kutumia mattz ya lisu kuficha mambo.Zito ni mnafki.Alipoondoka Nyarandu,walijikita kuchambua sababu zake na sio kumchambua Nyarandu binafsi au makando kando yake na ilikua ukimjadili Nyarandu unaambiwa jadili hoja zake,Kwa mwita hali ni tofaut sioni uko ufipa wakijadili udikteta wa Mbowe,Ruzuku,Kupenda fujo,Kupinga kila kitu nk.Hawa watu ni WANAFKI KIWANGO CHA SGR.
 
Zitto mwenyewe Mbona alikimbia?? Kama yeye kidume leo uko wapi? Chacha Wangwe aliyejifanya Dume la Kikulya leo yuko wapi?. Siasa ni kazi na hakuna haja kusubiria utolewe roho kisa siasa na kutaka uitwe kamanda. Walio kufa kikamanda kama akina Mawazo leo familia zao zinasaidiwaje? Sio lazima kufanyia siasa CDM
Mbona Bashe anahoja nzuri kuliko Mbowe na yuko CCM?. Zitto unacho kitafuta utakipata, maana unataka kujifanya kiongozi wa upinzani wote nchini. Zitto unajipendekeza Sana kwa Mbowe. sijui unatafuta nini. Lakini kumbuka huna jema kwa CDM kwa sasa kuliko ulivyokua chadema. Ulipo mtetea Mbowe katika madawa ya kulevya, ulihojiwa na Chama Chako.Pia tambua wanakigoma wengi uliwaudhi na ulipoteza wafuasi. Uliwafanya Kigoma Kumchukia Mbowe na CDM yake ili upate ufuasi katika ACT. Elewa chuki ile ilimea sana mpaka Kafulila akaadhibiwa kwa kuungana na Mbowe. Zitto CCM ni Bora kwa wanakigoma kuliko CDM. Ukiwaudhi na ACT yako basi hawatarudi CDM Bali CCM. Zitto usidhani kuna miujiza utafanya katika siasa kwa njia unayotaka. Ubunge wako ni muhimu kwako kuliko CDM, Kigoma ndio ubunge wako, acha kuiwazia 2020 sio yako. Kama kweli Mbowe na CDM wako tayari kushirikiana na wewe na ACT wekeni wazi mapema ili wafuasi wako wafanye maamuzi. Wakati unahama/ kufukuzwa ulisubiri kwa za wapinzani ziishe? Mbona ulienda mahakamani na ukatoa mfano wa Wangwe na kupiga Mikwara Sana tu. Sasa mwenzio kuhama unaumia nini? Nawe sikuhizi umekua wa kupinga kila kitu. Au ulitaka ahamie ACT? Zitto rudi kwenye Mstari.
 
mbunge wa kigoma zitto kabwe kwa tiketi ya ACT wazalendo ameamua kutumia ukurasa wake wa twitter kumwambia maneno mazito aliyekuwa mbunge wa Ukonga kwa tiketi ya CHADEMA ndugu MWITA WAITARA huku akimwambia alichokifanya si jambo nzuri hata kidogo maneno hayo yanasomeka kama ifuatavyo..

"Mbunge mwenzio yupo hospitali mwaka sasa kwa majeraha ya risasi kufuatia jaribio la kumwua. Viongozi wa Chama chako Karibu wote Ngazi ya Taifa wana kesi inayohatarisha kuwaweka jela. Watu wanauwawa na kupotea kila siku. Halafu unajiunga na hao wanaosababisha hayo? Kweli Mwita?"

zitto kabwe!
Dhambi ya usaliti
 
Tangu enzi za UDSM hajaacha usaliti huyo anayepewa ukweli na Zitto amekosa mwelekeo na ile dhambi ya Yuda, ipo kwenye muendelezo
 
mbunge wa kigoma zitto kabwe kwa tiketi ya ACT wazalendo ameamua kutumia ukurasa wake wa twitter kumwambia maneno mazito aliyekuwa mbunge wa Ukonga kwa tiketi ya CHADEMA ndugu MWITA WAITARA huku akimwambia alichokifanya si jambo nzuri hata kidogo maneno hayo yanasomeka kama ifuatavyo..

"Mbunge mwenzio yupo hospitali mwaka sasa kwa majeraha ya risasi kufuatia jaribio la kumwua. Viongozi wa Chama chako Karibu wote Ngazi ya Taifa wana kesi inayohatarisha kuwaweka jela. Watu wanauwawa na kupotea kila siku. Halafu unajiunga na hao wanaosababisha hayo? Kweli Mwita?"

zitto kabwe!
Very painful! Kweli Waafrika tumelaaniwa!
 
Mmoja wa Watanzania wanaopaswa kupuuzwa zama hizi ni pamoja na Zitto, ni mnafiki sana tena yuko tayari kuua upinzani. Atueleze alitokatokaje Chadema akajiunga ACT?
 
Bashiru tutatumia DOLA.........

"Wanaosubiri sisi tulegelege kwenye kutumia dola kubaki kwenye dola watasubiri sana, hata Trump kumuondoa ngumu, kuna nafuu kubwa na faida kubwa chama kilichopo madarakani kutumia nguvu za dola kufanya mambo ya kujenga imani kwa wapiga kura ili kiweze kubaki madarakani"- Bashiru

"Aliye na dola ndiye ananufaika na dola ile kubaki madarakani, huo ni ukweli na hata CHADEMA ikiingia madarakana ikaondolewa kwenye dola ni uzembe wake. Kwasababu ana nafuu na faida ya kuendelea kubakia" - Dkt. Bashiru Ally, Katibu Mkuu
 
Back
Top Bottom