Zitto: Waitara unazungumzia kumwona Lissu, wewe ulienda lini? Wabunge kila siku wana kesi za kupigania haki, hivi wauaji unaenda kushirikiana nao?

Mtu anaangalia maslai yake kosa liko wapi..zitto pambana na hali yako..leo hii kafulila ni katibu tawala! apo mngempa nin? #vilaza awatapata tabu san**
 
Zitto inaonekana una ushahidi usiotia shaka kuwa hao alionde kujiunga nao Mh. Waitara ndio wahusika. Kama ni hivyo unaonaje ukasadia kutoa huo ushahidi ili sheria ichukue mkondo wake? Halafu unapozungumzia kesi, hivi unataka kutuambia kuwa kile kilichozungumzwa na Mbowe wakati wa kuhitimisha kampeni za uchaguzi kilikuwa sahihi na hakikuvunja sheria za nchi? Au hili nalo unaliona gumu kulisema. Au unajifanya kusahau kuhusu hiyo hotuba? Basi kwa kukusaidia tu hebu isikilize hii hotuba halafu urudi twitter ukaangalie ulichokiandika. Hivi mkishikaga hizo nafasi huwa mnaona sisi wananchi hatujui chochote kuhusu sheria za nchi? Jifunzeni kufanya siasa zinazofuata misingi, kanuni na sheria za nchi.
Chili ww
 
mbunge wa kigoma zitto kabwe kwa tiketi ya ACT wazalendo ameamua kutumia ukurasa wake wa twitter kumwambia maneno mazito aliyekuwa mbunge wa Ukonga kwa tiketi ya CHADEMA ndugu MWITA WAITARA huku akimwambia alichokifanya si jambo nzuri hata kidogo maneno hayo yanasomeka kama ifuatavyo..

"Mbunge mwenzio yupo hospitali mwaka sasa kwa majeraha ya risasi kufuatia jaribio la kumwua. Viongozi wa Chama chako Karibu wote Ngazi ya Taifa wana kesi inayohatarisha kuwaweka jela. Watu wanauwawa na kupotea kila siku. Halafu unajiunga na hao wanaosababisha hayo? Kweli Mwita?"

zitto kabwe!
Upinzani wana fanya kosa kubwa sana kuwaamini walio kuwa makada wa Ccm na kuwapa nafasi kubwa kwwnye upinzani. Hili liwe fundisho. Tuwape madaraka waasisi wa chama. Haya makapi ya Ccm tusiyaamini. Tembo hasahau njia yake. Go Waitara. Goooo
 
mbunge wa kigoma zitto kabwe kwa tiketi ya ACT wazalendo ameamua kutumia ukurasa wake wa twitter kumwambia maneno mazito aliyekuwa mbunge wa Ukonga kwa tiketi ya CHADEMA ndugu MWITA WAITARA huku akimwambia alichokifanya si jambo nzuri hata kidogo maneno hayo yanasomeka kama ifuatavyo..

"Mbunge mwenzio yupo hospitali mwaka sasa kwa majeraha ya risasi kufuatia jaribio la kumwua. Viongozi wa Chama chako Karibu wote Ngazi ya Taifa wana kesi inayohatarisha kuwaweka jela. Watu wanauwawa na kupotea kila siku. Halafu unajiunga na hao wanaosababisha hayo? Kweli Mwita?"

zitto kabwe!
Kila la her Mwita Waitara
 
Ndugu Zitto, hebu jiangalie vizuri, hao unaowatetea ni walewale waliotaka kukuvua ubunge na uanachama kwa nguvu, ambao hawakuthubutu kwenda ku.julia hali Marehemu Mama yako alipolazwa hospitali, ambao hawakuhudhuria mazishi yake .

Are you the person to caution to even tweet on this issue, au umekuwa kama mzazi, baada ya kujifungua unasahau uchunga
 
Ni demokrasia. Acha ahame. Mbona yeye zito alihama chadema na kwenda kuanzisha chama cha ACT? Kila mtu Ana uhuru wa kuchagua siasa anayoitaka.
 
Kwa nini Zitto hazungumzii alivyotimuliwa chadema kama mbwa koko? Hazungumzii alichosema Tundu Lissu wakati wanamtimua. Mwanaume wa kikurya hawezi kukubali hali hiyo.
 
Yaani katika mapungufu yote kwa uongozi wa Mbowe, aliyoongea Waitara leo mh Zitto Kabwe lilokuwa muhimu kujadiliwa nimhilo la Mbowe kutoenda Uswisi? Yeye alienda, ilimgharimu muda kiasi gani kwenda, kurudi na kuendelea na shughuli zake?
 
Hakuna kipindi kigumu kwa upinzan kama awamu hii ila naamini tutavuka salama tu,hakuna marefu yasiokuwa na ncha.
 
Kuna mambo hayahitaji kujadiliwa akili ikiwa haijatulian kama ilivyo leo. Naomba tujipe muda ili tuje na mawazo mazuri zaidi.
 
Siasa haihitaji hasira. Zito atulie tu maana kila mtu anajua namna gani afanye kuridhisha nafsi yake na namna gani atailisha familia yake..Chadema humo ndani wanamambo mazito sana ni vile wengine hamjui.

Katumia haki yake kikatiba kuhama na nisawa tu. Waliotaka kumtoa lissu SIYO SISIEMU NARUDIA SIYO SISIEMU

MUDA UTASEMA.
1. Unasahau kwamba hizo gharama za kujitakia za kurudia Uchaguzi unnecessarily na wewe utazibeba 2. Wewe na Lissu nani anayejua mbaya wake? Wewe unajua zaidi kuliko mhanga mwenyewe? Mahaba yako yasikufanye kipofu wa akili.
 
Back
Top Bottom