Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
upeleke Kenya talk, huku wataufuta sasa hivi. nimeona zimefutwa nyingi za mrengo wa kukemea ya leoHuu uzi kwa hali ya sasa unaweza kufutwa.
Hii hali huenda inasababishwa na vitisho au maelekezo maalumu.upeleke Kenya talk, huku wataufuta sasa hivi. nimeona zimefutwa nyingi za mrengo wa kukemea ya leo
definitely!Hii hali huenda inasababishwa na vitisho au maelekezo maalumu.
Huyu jamaa anataka watu watumie akili zake tumbunge wa kigoma zitto kabwe kwa tiketi ya ACT wazalendo ameamua kutumia ukurasa wake wa twitter kumwambia maneno mazito aliyekuwa mbunge wa Ukonga kwa tiketi ya CHADEMA ndugu MWITA WAITARA huku akimwambia alichokifanya si jambo nzuri hata kidogo maneno hayo yanasomeka kama ifuatavyo..
"Mbunge mwenzio yupo hospitali mwaka sasa kwa majeraha ya risasi kufuatia jaribio la kumwua. Viongozi wa Chama chako Karibu wote Ngazi ya Taifa wana kesi inayohatarisha kuwaweka jela. Watu wanauwawa na kupotea kila siku. Halafu unajiunga na hao wanaosababisha hayo? Kweli Mwita?"
zitto kabwe!
vemaSiasa haihitaji hasira. Zito atulie tu maana kila mtu anajua namna gani afanye kuridhisha nafsi yake na namna gani atailisha familia yake..Chadema humo ndani wanamambo mazito sana ni vile wengine hamjui.
Katumia haki yake kikatiba kuhama na nisawa tu. Waliotaka kumtoa lissu SIYO SISIEMU NARUDIA SIYO SISIEMU
MUDA UTASEMA.
Unapikwa upinzani unaenda pewa rushwa ya uongozi ccm.CHADEMA ina hazina ya viongozi.Endeleeni kuwapika wengi ili wapate kazi na ulaji upande wa pili.Hongera CHADEMA
Chunguza mwenyewe sasaHuyu Mwita Waitara achunguzwe Ukurya wake, sijawahi kuona Mkurya asiye na msimamo na mjinga wa kiwango hiki.
SIO KESIKubwa la WANAFIKI katika ubora wake !! Mbona na yeye yuko NJIANI haifiki November atazisifia zile Bombardier 2 zinazokuja na atatangaza kujiunga siasa za HAPA KAZI TU, kama mnabisha. SUBIRINI !
Dishi limeyumba mzeeVidonda vya Lissu vinalambwa?!..Zitto..kaishiwa.