UVCCM ni mamburula hawajitambui wala hawajui wako kwenye chama kufanya nini, rejea sakata la juzi UVCCM Arusha, kamanda wa mkoa amemtimua kada maarufu mlezi wa vijana Mathias Manga kuwa ni msaliti na ametangaza kwenye vyombo vya habari, kamanda wa UVCCM Arumeru amekanusha kutimuliwa kwa Mathias na kumuita kamanda wa mkoa mpuuzi na amekurupuka wao wanamtambua Mathias, ila hawamtambui kamanda wao wa mkoa na kutaka chama kimfukuze yeye..sasa hawa wanaofanya mambo kama chekechea zitto anaweza hata kuwafikiria mara mbili? Wampe kiwewe cha nini? labda kuwaokoa kama watapata ajali anaweza pata kiwewe kwa kuona binadamu wana majanga ila si UVCCM?!