Donyongijape
JF-Expert Member
- May 28, 2010
- 1,497
- 815
Zitto... 😀😀😀😀
Hahahha jamaa anajua sana kuuma huku ana pulizahuyo jamaa ni mpigaji....hata inashangaza kama haujui
Opportunistist Mkubwa huyo!Nilishapoteza imani na Zitto kitambo sana ni swala la mda tu hili jipu litabainika
Kweli mkuu huyu jamaa ni hatari kwa taifa letu kwa ujumlaWale nusu kijiko waliokua wanamtetea tulipomtoa chadema wapo wapi leo