Zitto, unatuachaje?

Zitto hachaguliki Kigoma Kaskazini.
 
si alisema anatak igeuza kigoma na tz kuwa malaysia na singapore?Au alikuwa anamaanisha ktk ndoto ?
 
Zitto hachaguliki Kigoma Kaskazini.

Kabla ya Zitto kuwa mbunge wa Kigoma Kaskazini, aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kaskazini bwana Kahena alikuletea maendeleo gani?

Jibu kwanza halafu tuendelee...
 
Wabunge wote wa Chadema, uwa nacheka sana uteteza wa Chadema ukihoji kuhusu wabunge wao kutimiza ahadi zao wanarukia CCM na kujenga hoja kama za kwako.


Kwa hiyo nyie na CCM hamna tofauti?

Hawana dola,hawakusanyi kodi,unatarajia watoe pesa zao mfukoni? Nilichogundua kushabikia CCM zama hizi lazima uwe nuts
 
Ningependa maswali haya yajibiwe
 
Ningependa maswali haya yajibiwe

Hivi Nyarubanda Secondary haina High school, au wewe sio wa Kigoma Kaskazini? Ulitaka barabara nyingine ya kutoka wapi kwenda wapi? Mbona Mahembe panafikika mpaka Kinazi hadi Janda, na kidahwe panafikika pia, sasa hatukuelewi, labda ufafanue
 

Kibirizi ni Jimbo la kigoma Kaskazini?
 
Siasa za kutumwa kuchafu watu kama hii hata mtoto hawezi kuzikubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…