"ZITTO: Tumekataa kuwa mateka"!
Huko ndani ya mada haelezi chochote kuhusu kukataa kwake kuwa mateka.
Andiko lote linaonyesha anatafuta "kuonekana, kutambulika" kuwa naye yupo.
Jambo nisiloelewa juu ya huyu bwana ni hili: hivi kwa nini hawa wakubwa wanaoteua wasimnyamazishe kwa kumjaza mdomo asiseme neno?
Apewe kinafasi cha uteuzi, kama fupa analotupiwa mbwa mwenye kelele nyingi; hatasikika tena.