Zitto: Tume ya Bunge haijawahi kukaa kujadili uteuzi wa Katibu wa Bunge. Rais Magufuli amevunja Sheria!

Sheria inavunjwa unashangilia, duh utaahira haujawahi kumuacha mtu salama
Sishangilii, nahoji. Ujue unapopigania kitu, kabla ya kuanza kupambana unatakiwa ujiulize ni nini utapata, au watu watapata mwisho wa mbio zao. Usipoteze tu nguvu, muda na fedha unakimbizana ukiulizwa unajibu eti sheria. Sheria IPO kama njia tu ila sio main cause wala effect, nilisema humu juzi.
 
Ifike hatua watanzania hasa vyama vya upinzani vifikirie vitu vikubwa. Sio hizi petty issues, ni vigumu hata kuelewa ni nini hasa kinachotafutwa na ili iwe nini. Inasikitisha sana kwa kweli.

Unachotaka kutuambia ni kwamba ukiukwaji wa sheria ambao ni "mdogo" uachwe tu, tupambane na "mambo makubwa" kwanza ?

Kwani hatuwezi kwenda na yote ?

kwani kuna ubaya gani mteuaji akifuata taratibu tulizojiwekea hata kama akizikiuka anatetewa kwamba alicho Fanya ni minor issue ?
 
Ifike hatua watanzania hasa vyama vya upinzani vifikirie vitu vikubwa. Sio hizi petty issues, ni vigumu hata kuelewa ni nini hasa kinachotafutwa na ili iwe nini. Inasikitisha sana kwa kweli.
It always start with petty issues, ignoring them will not make them go away. And by the way they are politicians so doing politics is and has always been part of their DNA. Don't blame them...
 
Sishangilii, nahoji. Ujue unapopigania kitu, kabla ya kuanza kupambana unatakiwa ujiulize ni nini utapata, au watu watapata mwisho wa mbio zao. Usipoteze tu nguvu, muda na fedha unakimbizana ukiulizwa unajibu eti sheria. Sheria IPO kama njia tu ila sio main cause wala effect, nilisema humu juzi.

Kwa maoni yako ni kwamba sheria kufuatwa au kutokufuatwa liwe ni jambo la hisani ?
Anayetaka kufuata afuate asiyetaka aache !

Sasa kwa mtazamo huu sijui huo ushauri wako wa katiba mpya unautoa wa nini ?
 
Unachotaka kutuambia ni kwamba ukiukwaji wa sheria ambao ni "mdogo" uachwe tu, tupambane na "mambo makubwa" kwanza ?

Kwani hatuwezi kwenda na yote ?

kwani kuna ubaya gani mteuaji akifuata taratibu tulizojiwekea hata kama akizikiuka anatetewa kwamba alicho Fanya ni minor issue ?
Alieondolewa mwenyewe anasema ni sahihi, wewe ulioko pembeni unasema si sahihi!? Tuache kushabikia vitu visivyo na faida na visivyotusaidia kitu. Mwisho wa hizo mbio nani atapata nini?
 
Sishangilii, nahoji. Ujue unapopigania kitu, kabla ya kuanza kupambana unatakiwa ujiulize ni nini utapata, au watu watapata mwisho wa mbio zao. Usipoteze tu nguvu, muda na fedha unakimbizana ukiulizwa unajibu eti sheria. Sheria IPO kama njia tu ila sio main cause wala effect, nilisema humu juzi.
Are u serious!!!???
Hoja ni kuwa utaratibu/sheria haifuatwi!!
Ulimwenguni kote nchi huongizwa na katiba ambayo hueleza sheria msingi zinazotumika kuongoza ambao ndio "utaratibu".
 
Hayo kayaeleza Zitto kwa kirefu kupitia ukurasa wake wa facebook na pia kupitia mtandao wa twitter Zitto amesema huu ni mwendelezo wa dharau kwa Mhimili wa Bunge.
Mhe. Zitto afanyekazi zingine au anatafuta sifa kwa watu wasiojua sheria. Katiba inampa mamlaka Rais kumteua Katibu wa Bunge na iko wazi kabisa!! Sasa kupeleka issue hiyo Mahakamani ni kupoteza muda tu. Katiba ni sheria mama iko juu ya sheria zote zilizotungwa na Bunge. Hiyo sheria yao ya bunge haiwezi kuwa juu ya Katiba hata siku moja. Awadanganye wasio jua sheria!!
 
Are u serious!!!???
Hoja ni kuwa utaratibu/sheria haifuatwi!!
Ulimwenguni kote nchi huongizwa na katiba ambayo hueleza sheria msingi zinazotumika kuongoza ambao ndio "utaratibu".
Mkuu kwani Katiba inasemaje kuhusu kuteuliwa kwa Katibu wa Bunge?? Tuanzie hapo kunauwezekano hata hujui Katiba inasemaje!!
 
Mkuu kwani Katiba inasemaje kuhusu kuteuliwa kwa Katibu wa Bunge?? Tuanzie hapo kunauwezekano hata hujui Katiba inasemaje!!
Mkuu achana nao hao wengine wanadandia tu,wakisikia Zitto Kabwe kasema au Mange kapost wanadandia tu,aliyeteuliwa kesho anaapishwa,acha wapoteze muda kwenda mahakamani sijui itawasaidia nini?,bado watu hawajajua mziki wa Magu.
 
Ungekuwa umejibu nilichouliza ningeliweza kuendelea kuandika kilicho nje ya maarifa yako ila kwa kifupi:
Inasemwa ikiwa unampenda mtu "MWAMBIE UKWELI" maana usipomwambia ukweli iko siku atakwenda uchi ilhali unampamba kwa maneno mazuri na aibu itakuwa kwa mpendwa wako.
Ttz mnawaamini sana wanasiasa kuliko akili zenu.kila atakachosema zito imradi kinafurahisha mioyo yenu bas ni sahh
 
Soma post #29 utajifunza kitu na kuielewa hoja ya ZZK!
Asante mkuu nimeona,, ila huu ujinga tuliuruhusu wenyewe hata wabunge wetu wanapolialia hata haisaidii. Hayo maelezo yaliyoko kwenye sheria ya utawala wa bunge yalipaswa kuwapo pia kwenye ile ibara ya 87 ya katiba ya JMT ili kumkata maini Rais. Sasa hivi jamaa atajificha kwenye hiyo ibara ya 87 kwamba haimwelekzi kusubiri tume ifanye utambuzi wa majina matatu, maana mwisho wa siku hata wakienda mahakamani hukumu itatolewa based on the descriptions in the Katiba mama!! Huto tu-sheria twingine tutatupwa kule!!
 
Alieondolewa mwenyewe anasema ni sahihi, wewe ulioko pembeni unasema si sahihi!? Tuache kushabikia vitu visivyo na faida na visivyotusaidia kitu. Mwisho wa hizo mbio nani atapata nini?

Kwahiyo taratibu zimewekwa pembeni tunaendesha mambo kwa mujibu wa maoni ya "ALIYEONDOLEWA" ?

Sheria inasema kwamba Rais atateua katibu wa bunge kutoka katika majina matatu yaliyopendekezwa kwake na kamati ya bunge ya utumishi (kama sijakosea kutaja jina la hii kamati), Sasa kinacholalamikiwa kukiukwa na ACT wataenda mahakamani kushitakiwa ni kwamba hiyo kamati haikukaa kuteua hayo majina matatu, Jamaa ameteua tu mwenyewe mwenyewe. Maoni ya ALIYEONDOLEWA sijui yanasaidiaje kuhalalisha hili...... Sijui
 
Nadhanu hapa mpaka tupate kujuwa katiba ,sheria na kanuni za uteuzi zinasemaje kwa pamoja.
Ukiangalia katiba peke take utadhanu rais yuko sahihi na wanaopinga hawajui -labda mtu mwenye sheria na kanuni aziweke hapa zikiambatana na katiba juu ya suala hili ,hapo ndio tutajadili kiuweledi
Ni kweli mkuu ukiishia kwenye katiba tu kumbe ni majanga. Hata mimi ningekuwa Rais wenu leo hii ningefanya makosa hayo hayo aliyoyafanya Magu. Kumbe naye kaishia kusoma Katiba ya JMT tu hakufuatilia sheria ya utawala wa bunge inasemaje? Ni kweli mkuu inasema tume itakaa na kupendekeza majina matatu ambayo yatatumwa kwa Rais kwa ajili ya uteuzi. Sasa Magu kama anataka kufunga goli awaachie jamaa wakae wapendekeze hayo majina (obvious na huyo rafiki yake anaweza kuwamo kwenye hayo matatu). Ndiposa, atapata nafasi ya kumrudisha tena kama alivyotaka, lakini akijifanya ngangari atakosa mwana na maji ya moto.
 
Kwa hiyo kinachotafutwa hapo ni nini maana vyovyote itakavyokuwa, Mwenye mamlaka ya kuteua katibu wa bunge ni huyo huyo Rais. Mimi nafikiri IPO haja ya kuachana na kupoteza muda kwenye ishu ambazo hazina tija kwa yoyote.

Kinachotafutwa hapa ni kuweka kumbukumbu sawa bila kujali hiki ufikiriacho ama mahakama itaamuaje....!
 
Sishangilii, nahoji. Ujue unapopigania kitu, kabla ya kuanza kupambana unatakiwa ujiulize ni nini utapata, au watu watapata mwisho wa mbio zao. Usipoteze tu nguvu, muda na fedha unakimbizana ukiulizwa unajibu eti sheria. Sheria IPO kama njia tu ila sio main cause wala effect, nilisema humu juzi.

Unajua ukisemacho kweli wewe tena ukiwa verified user kabisa??

Kusimamia taratibu, sheria na katiba hakuna kujiuliza nitapata ama watu watapata nini bali jibu ni kusimama ktk taratibu, baaasi!!
 
Back
Top Bottom