babu M JF-Expert Member Mar 4, 2010 5,221 3,167 Dec 22, 2013 #421 Labda ni wakati wa kuanza kuwanyooshea viongozi wa Chadema makao makuu vidole. Haiwezekani mbunge wao anaeneza siasa za kibaguzi bado wapo kimya.
Labda ni wakati wa kuanza kuwanyooshea viongozi wa Chadema makao makuu vidole. Haiwezekani mbunge wao anaeneza siasa za kibaguzi bado wapo kimya.
Genekai R I P Feb 9, 2010 12,517 4,987 Dec 22, 2013 #422 Sijajua kwanini ZZK anatetewa sana na wanaCCM!!!!
COARTEM JF-Expert Member Nov 26, 2013 3,598 3,644 Dec 22, 2013 #423 TAWA said: aende arusha au hata hapa dar akajaze watu Click to expand... Kigoma ni magharibi, Arusha ni Kaskazini, DSM ni Mashariki...Yeye ni Mbunge wa Kigoma mashariki akiwakilisha Kigoma nzima; hataki ukorofi wa kwenda kwenye mikoa isiyo kuwa ya kwake. Home sweet home.
TAWA said: aende arusha au hata hapa dar akajaze watu Click to expand... Kigoma ni magharibi, Arusha ni Kaskazini, DSM ni Mashariki...Yeye ni Mbunge wa Kigoma mashariki akiwakilisha Kigoma nzima; hataki ukorofi wa kwenda kwenye mikoa isiyo kuwa ya kwake. Home sweet home.
M majebere JF-Expert Member Apr 2, 2012 4,892 1,724 Dec 22, 2013 #425 genekai said: Sijajua kwanini ZZK anatetewa sana na wanaCCM!!!! Click to expand... anakubalika kote sio ccm tu Huyo ndio mwamasiasa wa kweli.
genekai said: Sijajua kwanini ZZK anatetewa sana na wanaCCM!!!! Click to expand... anakubalika kote sio ccm tu Huyo ndio mwamasiasa wa kweli.