Zitto: Serikali itabidi ikope ili kulipa mishahara

Zitto: Serikali itabidi ikope ili kulipa mishahara

thread kama hizi wakina pascal mayala huwezi kuwaona angalau kwa kuchungulia
 
Huwa naamini ipo siku Serikali itapitisha mwezi kama siyo miezi kutolipa Watumishi,naongea kwa fact na siyo porojo,hii Serikali siyo rafiki wa Wafanyabiashara wa ndani na nje,hii Serikali inajua tu kukusanya tu kodi lakini haijui kuboresha mazingira ya walipa kodi hasa Wafanyabiashara,haitaki ukweli eg ilivyoshauriwa na bilionea wa Nigeria kuhusu sera ya uwekezaji,kuwasahau Wakulima,kutokuwa na Dira ya maendeleo,kuchukua fedha zote za walipa kodi na kuipeleka kujenga miradi au kununua kitu kisicho na faida kwa wakati huo,sikatai bali ingetangaza kandarasi na ingie mkataba mkubwa na makampuni juu ya ujenzi au ununuaji kwa mkopo na iwe inalipa kwa awamu na siyo pesa taslimu kama ilivyo sasa,na inatakiwa kujikita kutoa huduma kwa Wananchi wake,kuyawezesha mabenki na siyo kuyapeleka Benk kuu ili kuwa na mzunguko wa kifedha Nchini na n.k
 
Tunaogozwa na Dereva wa Lori la mchanga
hapo kwenye kupuguza wafanyakazi alafu unasema kushuka kwa PAYE inasababishwa na kufukuzwa kwa wenye vyeti hewa umesema uongo kabwe uwe unaacha kukopi na kupesti ,kwani PAYE na mishahara hewa waliyokua wakilipwa ni ipi kubwa
 
Naye aangalie utendaji wake. Ndani ya chama chake mambo si shwari, na ubunge 2020 sioni atakatizia wapi.
 
huyu dreva c wa kumwamini kabisa hata kidogo,hajapitia veta
 
Back
Top Bottom