mpambanaji1
Member
- Dec 31, 2013
- 36
- 39
kazi kwenu kijana wa kigoma anakula bata nyie mnakesha angani kumshambulia. Suluhu siyo kumfukuza ila ni kujitathimi nyie mnaojiita wasafi ndani ya chama na myaone mapungufu yenu
Adobe photoshop
Deni la Taifa la Tanzania limefikia au litafikia 25Trillioni mwaka 2014...
Hebu tuachane na kina Zitto na CHADEMA tuanze ongelea kuhusu hilo deni lilipatikana vipi maaan siku ya mwisho sisi ndo tutakuwa wadaiwa
Kwani Zitto ni mwanachama wa chama gani.
Deni la Taifa la Tanzania limefikia au litafikia 25Trillioni mwaka 2014...
Hebu tuachane na kina Zitto na CHADEMA tuanze ongelea kuhusu hilo deni lilipatikana vipi maaan siku ya mwisho sisi ndo tutakuwa wadaiwa
Hivi vitu vinahusiana sana, Zitto alikuwa anapigania matumizi mazuri ya ruzuku za vyama, ambayo kimsingi yanahusiana sana na hili deni la taifa.