Zitto, Prof Baregu mnapinga msimamo wa Tanzania juu ya EAC?

East Africa will prevail- Dr Diodorus Kamala. Very true, we need to be prepared when this happens yet we are bogged down, paralysed to inaction so to speak by an irrational fear of imminent take over of Tanzania land by neigbours. We need leadership.
 
MMMM!!!Hapana acha tubadilishe katiba kwanza tutashirikiana nao,kwa vile ni jirani zetu hatuna ujanja wa kuwakwepa,wao wana katiba zilizosimama zinalinda raslimali zao.Tz ndio kabisaa katiba mbovu na viongozi wabovu wameuza madini na ardhi hiyooooo itaenda,kwa hapo nakubaliana na alichokifanya Sitta.
 
Unajua ZItto na Baregu hupenda kujitambulisha kama Panafricanists, na wanapenda siku wakifa wakumbukwe kuwa walikuwa ni panafricanists, jambo ambalo ni zuri sana.

Tatizo lao ni moja tu licha ya shule kubwa waliyonayo. Panafricanism does not necessarily mean a Politically united Africa. Wao wanaona yoyote anayepinga EAC intergration basi anakuwa kinyume na Upanafrika.

Tatizo ni kuwa Wakenya na Wanyarwanda wana akili sana kuliko watz wengi (this can be proved by a simple desk research), kwahiyo wanajaribu kutatua tatizo la miaka 20 ijayo leo. Wakati watz wamezoea kutatua tatizo la leo leo. Unafanya maadhimisho ya uhuru kwa 64 bilioni wakati mwezi January shule zinafungua hazina madawati, vitabu na walimu wapya na wa zamani hajawalipwa.

Profesa wa Kenya huwezi kumlinganisha na Profesa wa TZ, yeye Baregu anajifanya kuangalia matatizo ya Afrika kwa upana wake, wakati Profesa Anyang Nyong'o anaangalia matatizo ya Kenya kwanza Afrika baadaye. Samahani nina hasira sana............................
 
East Africa will prevail- Dr Diodorus Kamala. Very true, we need to be prepared when this happens yet we are bogged down, paralysed to inaction so to speak by an irrational fear of imminent take over of Tanzania land by neigbours. We need leadership.
...I doubt he meant, as a region. We have leaders, what we really need right now is for a diehard nationalist one.

...We are a divided people. If we are going to benefit for being in EAC, we should pull ourselves and act as a nation.
 
Back
Top Bottom