Dr Emma John
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 820
- 196
zitto ni jemidari na hadhi yake hajaipatia jf
sisi kama watz tunaheshimu sana mchango wake bila kujali itikadi za siasa
Vp maandamano mmeshindwaaaaa??
bila zito hakuna chadema
Zito ndio nembo ya chadema,,
Zitto ndio Chadema, bila zitto chadema ingeshakufa siku nyingi sana
Kule kuna mipini ujue,umesahahu Mipini inapenya kwenye JembeZITO jembe.
Chadema ni Mbowe na Slaa, bila wao chama kitakufa, wamekitoa mbali na wamekijenga mpaka kufikia hapo kilipo. kamanda husikilizi hata hoja za viongozi wako, uchaguzi wote wa chadema umejengwa na hoja kuwa mbowe kajenga chama anastahili kuendelea ili akijenge zaidi, makamanda tukamkubali. sasa hapo chadema si mbowe, bila mbowe hakuna wa kuendeleza chama, tunamuombea maisha marefu, mabomu ya police wa ccm yampitie mbali chadema yetu isije ikafa.
Na huyu naye ni kamanda wa jeshi la ukombozi.... Sasa kama fikra zenyewe ndio kama hizi sijui nani anahitaji ukombozi. Nadhani kwanza angeanza kujikomboa yeye kifikra halafu ndio aweze kuwapigania wengine. Ukombozi unaohubiriwa na fikra dumavu kama hizi ukombozi wa maharamia pekee.
waasi wa wachagga