ericmarimbo
Member
- Sep 30, 2011
- 91
- 37
Scrap. Chama ni taasisi hakuna alyemkubwa kuliko chama. Maarufu nichadema si mtu. Hata angeondoka Mbowe au Dr Slaa chadema itabakiZitto ndio Chadema, bila zitto chadema ingeshakufa siku nyingi sana
Scrap. Chama ni taasisi hakuna alyemkubwa kuliko chama. Maarufu nichadema si mtu. Hata angeondoka Mbowe au Dr Slaa chadema itabaki
zitto ni jemidari na hadhi yake hajaipatia jf
sisi kama watz tunaheshimu sana mchango wake bila kujali itikadi za siasa
jemedari wa waasi
Zitto ndio Chadema, bila zitto chadema ingeshakufa siku nyingi sana
Kama wewe ulivyo mfupi
Hivi huyu mjomba mbona hataki kuondoka? Uchaguzi ndani ya chama umeisha na hajapata nafasi yoyote lakini hataki kuondoka anang'ang'ania kama kupe. Tulishakufukuza ondoka ukajenge ACT yako pamoja na CCM. Kama ni pesa za kinywa mgongo siatapewa na bwana zake wapya wa CCM?
Wasaliti wote wameondoka kabaki Zitto na Shibuda tu.
Kama jembe mpelekeni kijijini akalime ndo kazi ya majembeZITO jembe.
Scrap. Chama ni taasisi hakuna alyemkubwa kuliko chama. Maarufu nichadema si mtu. Hata angeondoka Mbowe au Dr Slaa chadema itabaki
bila zito hakuna chadema