mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,161
- 802
Haya ndiyo matatizo ya watanzania mara hii tayari neno ngumu limeshakuwa jambo la kawaida. Nini maana ya kitu/jambo ngumu ?
Tumesikia kila mara akitamka kufanya maamuzi magumu!
Sasa tuje kwenye issue ya Zitto,kama ulivyodokeza hiyo moja ya maamuzi magumu yaliyobaki kwa Mhe,lakini pia anachaguo lingine kwenye orodha ya maamuzi magumu kwamba Siasa ndiyo basi/mwisho.
Anasubiri na akina mzee Arfi ajiweke sawa watoke wote ili ile dhana ya "Chama cha Wakristo" iweze kutimia!
Ujinga uliopitiliza, hivi chadema wasio wakristo ni Zitto na Arfi tu? hivi wewe ndio ulikuwa moderator wa JF mtupu hivi? jamaa waliona mbali sana kukufurusha
HUO ni ubunge anang'ang'ana na uenyekiti PAC(kitengo cha ulaji kwa kutishia watu na kuchukua mshiko mlango wa nyuma). Najiuliza ungekuwa uwaziri angefanyaje? Si angeruka ukichaa? Kama kawaida yao ataingiza udini ili kupata utetezi. Utawala bora na utawala wa sheria unataka kila mmoja kutii makubaliano. Kavunja Katiba ya CDM kwa kutafuta umaarufu binafsi.Ningeshangaa kama angefika mbali. Anagusa wapakwa mafuta wa Bwana na anategemea Mungu akae kimya. Kwa roho yake ovu amesababisha makovu na maumivu makubwa kwa wana wa Mungu pasipo hatia. Ni lazima akatubu la sivyo mkono wa Bwana uteendelea kuwa mzito juu yake. Binafsi nimemwomba Mungu amrehemu ili maamuzi magumu isije kuwa kujitoa uhai wake. He is totally confused. Mungu aponye uhai wake na mkono wake usiwe mzito kupita kiasi juu yake. Amen.
akiacha siasa, itakuwacimeleta jibu zuri, na atakuwavametenda haki kwa chama, ns Watanzania
Chukua sasa ivi, unachelewa, ili ukaijenge ACT inayoangamia
ni kweli huyo saanane yumo ktk mkumbo lkn haitiliwi uzito why?
Kila siku .. Kila siku.. "Nitafanya nitafanya..'" Unadhani maamuzi Magumu MCHEZO..!
1: ukiamua kujitoa CDM.. Utaendapi... ?!,. ADC?!? Ambao wameanza kutimuana, Ccm ishawatupia kipande Cha mfupa wamechakazana majuzi, utakuja TADEA!?, CUF?!(UKAWA).. Au utaendapi Mwenye muchknow Wetu..
2: utang'angania Bunge limkingie kifua .. Lakini Ndo kweishney .. Unajua watu wengi njaa zinatusumbua.. Kila Mtu ana njaa Yake.. Kiongozi njaa kila siku maslahi Yake atayatanguliza..
Hata akiomba msamaha kuna mawili kukubaliwa ama kukataliwa, akikubaliwa lazima afuate masharti yote ya kuomba uanachama upya kwenye tawi lake la msingi kwa sababu hadi sasa Zitto sio mwanachama wa Chadema, ref. katiba ya Chadema ibara ya 8.Hakuna Uamuzi Mwingine Mgumu ambao ni makini anaopaswa kufanya zaidi ya Kuomba Radhi kwa wapenzi na wanachama wa CHADEMA na kusonga mbele
Kwenda chama Kingine itakua uamuzi mgumu lakini sio makini