Zitto: Ninaunga mkono UKAWA!

Kuna jamaa wa Bavicha wao ndiyo wanaona wana mamlaka ya kuwa wapinzani watakuja kumshambulia Zitto.
 
Hizo sababu ulizozitoa siyo za Zitto ni zako binafsi.
 
Akiwa anaongea na dv mh zitto kabwe amesema ukawa wana nafasi kubwa sana ya kuchukua nchi kwenye uchaguzi wa mwaka huu
Chanzo dv

ukawa ipi ile aliyeishutumu kuwa ni yawasaka tonge leo imekuaj?e huyu maha ajielewi
 
Kuichagua ccm ni kuchagua matatizo.
Miaka 50+ sera zimegonga mwamba Huezi sema tena Ujamaa na kujitegemea mbele za watu kwa kujiamini falisafa yao hiyo Imedumaa. Matokeo yake leo kuna Mafisadi yaani hao ni matajiri wezi ndani ya UJAMAA huku Tunaomba Misaada mpaka Huruma ndio sisi mpaka leo hatuna hata Ndege ya kupigia picha ndo Kujitegemea huko.
 
nadhani ameanza kuona upepo wa kisiasa ukikiacha chama chake kwa mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…