ZITTO: Nilipofukuzwa nilitamani kujiunga NCCR Mageuzi

Mkuu una maswali ya msingi, nachojaribu kukitafuta kwako ni hiki:-
1. Unafikiri hizo kauli si za Zitto?
2. Kama unafikiri hivyo, zake zikanushe kiushahidi ili na mimi nizithibitishe ukweli wake.
3. Unafikiri ndio siasa ilivyo kwa jamaa anavyojichanganya changanya na ndivyo inavyopaswa kuwa?
4. Unafikiri Hizo ni allegations kwake au kumchafua? Ni kipi amesingingiziwa hapo?
5. Unafikiri tunajaribu kumchafua labda wakati tumemnukuu tu kauli zake?
6. Unafikiri Hoja zako na msingi wa hoja iliopo mezani kuna ushabihiano? Huoni ni wewe tu unazipinga either kwa kuwa huzijui au kwa kuamua au kwa kuwa u jamaa yake? Haiwezekani yeye pia ni jamaa yangu? (umeona statement yangu ya kwanza ina ''chetu'' mwisho, unafikiri ilikosewa?)
7. Unafiri wote tuliomo humu tuna chuki na Zitto? Au Yeyote asiyeupande wake ni Chadema?
8. Kumsahihisha mtu ni kuwa na chuki naye?
9. Unafikiri kutokua na adui wa kudumu au rafiki wa kudumu unafikiri ni ishu ya UWONGO au mkakati?

Walao nikipata ufahamu zaidi juu ya hayo huenda ukawa umeielewa hoja au tukaweza kuleta hoja mujarabu zaidi.

Kwanza nimefurahi kwa kuwa umenijibu kiuungwana bila jaziba au matusi....vipi kuhusu masuali mengine 1, 2, 3 na 7?

cc Tized
 
Wakianza hata wawili tu wengine watalazimika tu kukutafuta
Pr company ikiwa very good watu watakuja tu
kama umefuatilia utagundua habari za Buhari zilikuwa zina dominate
vyombo vyote vya habari vya Nigeria na vya International...sababu ya a very good PR company

Halafu yule mzee wetu una uhakika hakuna a PR company already?
we unafikiri ilikuwa 'bahati tu' kuwa magazeti zaidi ya matatu siku ile yalitoka na headline moja?
'siwezi kuzuia mafuriko kwa mkono' unakumbuka?
Mzee wetu anasimamiwa na Abou Liongo, ni school mate, room mate chuo cha TSJ, tukaajiriwa pamoja na kuanza kazi siku moja, na kukaishi nyumba moja, a shared flat kwa maisha ya ujana wetu wote hadi tulipoa yeye na wife wake na mimi na wife wangu!, tukatengana vijana walipoanza kutokelezea. Abou is good, na jamaa yuko fit 'kurekebisha!', kuna thread ya editor fulani wa Mwananchi aliipandisha humu jinsi ile picha ya akifanya jogging ilivyoleta maneno pale Mwananchi, wakaitupia ukurasa wa mwisho, siku hizi picha zake ni front!.

Media zetu za nchi masikini, media masikini, editors masikini, waandishi masikini!, unategemea nini?!.

Pasco
 
Kikwete ana gift ya kuzaliwa
inaitwa 'charisma'
ndo maana anaweza kuongea ujinga kabisa na watu wasikarike

Sijui kama Zitto ana hiyo gift.....lakini kama alishindwa kumuondoa Mbowe
kwenye Uenyekiti.....basi anapaswa kujitazama upya..hasa his weakness

Kama wasomi kina Tundu Lissu na Baregu na Safari wana prefer kuongozwa na Mbowe kuliko Zitto huko CHADEMA
basi Zitto anapaswa kujitazama tena....labda hana 'kile ambacho anafikiri anacho'
au anacho but hakijakomaa au kunolewa vya kutosha

Ulichokiandika hapa kwangu ni post bora kabisa toka mwaka huu uanze...tuna lengo la kujenga nchi na si kuteteana tu.....kudos mkuu...
 
hiyo ya nccr ni kipindi analazimisha kugombea uenyekiti chadema akamtuma kafulila kumuandalia njia nccr. sasa kaona kafulila na wenzie hawajaogopa mkwara wake wa kuchukua majimbo analeta lugha ya kufitinisha, Kafulila ndio mtu anayeogopwa na Zitto akiamua kusimama Zitto hasogei
 
Mzee wetu anasimamiwa na Abou Liongo, ni school mate, room mate chuo cha TSJ, tukaajiriwa pamoja na kuanza kazi siku moja, na kukaishi nyumba moja, a shared flat kwa maisha ya ujana wetu wote hadi tulipoa yeye na wife wake na mimi na wife wangu!, tukatengana vijana walipoanza kutokelezea. Abou is good, na jamaa yuko fit 'kurekebisha!', kuna thread ya editor fulani wa Mwananchi aliipandisha humu jinsi ile picha ya akifanya jogging ilivyoleta maneno pale Mwananchi, wakaitupia ukurasa wa mwisho, siku hizi picha zake ni front!.

Media zetu za nchi masikini, media masikini, editors masikini, waandishi masikini!, unategemea nini?!.

Pasco

Ni changamoto but inawezekana

David Axelrod na his Pr company ukiweza kuwafuatilia uta gain kitu...
mimi naona changamoto kubwa ni hao wanasiasa kusikiliza na kufuata huo ushauri
wengi ni 'much know' sana
 
Mkuu una maswali ya msingi, nachojaribu kukitafuta kwako ni hiki:-
1. Unafikiri hizo kauli si za Zitto?
2. Kama unafikiri hivyo, zake zikanushe kiushahidi ili na mimi nizithibitishe ukweli wake.
3. Unafikiri ndio siasa ilivyo kwa jamaa anavyojichanganya changanya na ndivyo inavyopaswa kuwa?
4. Unafikiri Hizo ni allegations kwake au kumchafua? Ni kipi amesingingiziwa hapo?
5. Unafikiri tunajaribu kumchafua labda wakati tumemnukuu tu kauli zake?
6. Unafikiri Hoja zako na msingi wa hoja iliopo mezani kuna ushabihiano? Huoni ni wewe tu unazipinga either kwa kuwa huzijui au kwa kuamua au kwa kuwa u jamaa yake? Haiwezekani yeye pia ni jamaa yangu? (umeona statement yangu ya kwanza ina ''chetu'' mwisho, unafikiri ilikosewa?)
7. Unafiri wote tuliomo humu tuna chuki na Zitto? Au Yeyote asiyeupande wake ni Chadema?
8. Kumsahihisha mtu ni kuwa na chuki naye?
9. Unafikiri kutokua na adui wa kudumu au rafiki wa kudumu unafikiri ni ishu ya UWONGO au mkakati?

Walao nikipata ufahamu zaidi juu ya hayo huenda ukawa umeielewa hoja au tukaweza kuleta hoja mujarabu zaidi.

Mkuu maswali yale 8 juu nimeyajibu....labda kama haujaridhika nayo tufikie muafaka wa kukubaliana kutokukubaliana...naomba urejee majibu yangu ya awali haya masuali ya ziada uliyoniuliza sioni tofauti yake ya kimsingi na haya mengine. Aidha ninachokubali ni kuwa si kila anayejaribu kueleza mapungufu ama makosa ya mtu fulani basi anamchukia huyo mtu ama vinginevyo.....signature yangu inajieleza zaidi.
 
Mzee VUTA-NKUVUTE,

Bandiko lako haliwezi kukamilika maana orodha ya mambo ambayo Zitto amejing'ata ulimi ni lukuki. Mie naongeza moja tu la hivi karibuni. Akihojiwa kwenye MKASI-EATV na Hotmix ya EA Radio alisema Kahama, Kawe, Ubungo na Segerea wananiomba nigombee ubunge Mtu huyu huyu mwezi Agosti mwaka 2012 akihojiwa kwenye Makutano Show na Phina Mango wa Times FM alisema HAYA:

11194514_10153280430808069_4162734570589130331_o.jpg

Ukisoma hapa Home ndo utaona huyu jamaa hamna kitu kabisa!

Mzee VUTA-NKUVUTE na KIBARAone naomba hii quotation muiweke juu kabisa kwenye threads zenu ili watu waamue wenyewe.

Nukuu hii isomwe pia na The Boss

....
1. Aliyesema alianzisha chama akiwa ndani ya chama ili uonevu ukizidi aende huko ni nani? NCCR haikuwepo wakati anaanzisha ACT yetu?
2. Aliyesema yeye angelikua mtu wa mwisho kuhama kile chama ni nani sio huyu huyu? Iweje uanzishe chama kingine ilihali wewe utakua wa mwisho kuondoka?
3 Aliyesema hangegombea nafasi yeyote ya uongozi kwenye chama chake si ndio huyu huyu kiongozi Mkuu?
4. Aliyesema hataki tena siasa na angeenda kufundisha Vyuo vya elimu ya juu sio ndio huyu huyu wajameni kiongozi Mkuu?
5. Aliyesema Vyama vyote isipokua chake havina malengo sawa ya kijamaa si ndio huyu? NCCR kimeshakua tena cha kijamaa mara hii?
6. Aliyesema UKAWA ni wasaka tonge na kugawana madaraka sio ndio huyu huyu anayesema ukawa wanambania? Ameshatoka tena Uzalendo hado usaka tonge?
8. Nadhani pia aliyesema tusiwaamini wanasiasa ni huyu huyu ndugu yetu (naomba kusahihishwa hapa)
7. Yako mengi mnooooooo!!

Brother ukiwa muongo inabidi uwe na kumbukumbu zaidi ya unaowahadaa.

Mwanangu Zitto, mimi Mzee Tupatupa nakukumbusha kuwa ukiwa muongo usiwe msahaulifu

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
Attachments

  • KUOMBWA.jpg
    KUOMBWA.jpg
    15.5 KB · Views: 103
Last edited by a moderator:
Anatakiwa awe na katibu wake binafsi ili awe anaweka katika rekodi kile kinachozungumzwa
 
Inashangaza sana wakati akisisitiza watu waweke maneno akiba, Maneno yake kanganishi anayaachia tu.
Huwezi kumwamini Aya-to.llah kwa sababu couple of weeks ago alikiri kuwa yeye akishirikiana na washirika wake aliasisi chama akiwa ndani ya Chadema. Sasa nini ilikuwa objectives zake iwapo alitaka kuhamia NCCR baada ya kufukuzwa Chadema wakati tayari alikuwa tayari ameshaanzisha chama? Sasa mbona anazidi kujichanganya mwenyewe?
 
Huwa nawaza tuu Zitto atafanyaje kama matarajio yake yatabuma. Na pia CCM nao watafanyaje kama malengo yao ya kumtumia Zitto kubomoa CHADEMA yatakapobuma. Ni tafakuri tuu.

Abume mara ngapi mkuu wakati mwezi Oct 2015 ndio mwisho wa mheshimiwa!
 
Asante sana Mkuu Boreless kwa uthibitisho huu.

Mkuu mcubic nakushukuru kwa kutokubaliana. Lakini huoni pia inawezekana ni kutotaka kuona upande wa pili wa shilingi zaidi ya unaoujua?

NB: Hizi nukuu mbili za Mh. unazizungumziaje?
''"Ambacho sikufanya mimi ni binadamu sipo sawa kwa kila kitu hakuna binadamu ambaye hana makosa lakini yapo mema ambayo nimefanya lakini sasa nimeyakunja na kuyaweka pembeni na tumechora mstari na kuanzisha chama cha siasa cha wazalendo," Zitto; gazeti la Nipashe.....

Mzee VUTA-NKUVUTE,

Bandiko lako haliwezi kukamilika maana orodha ya mambo ambayo Zitto amejing'ata ulimi ni lukuki. Mie naongeza moja tu la hivi karibuni. Akihojiwa kwenye MKASI-EATV na Hotmix ya EA Radio alisema Kahama, Kawe, Ubungo na Segerea wananiomba nigombee ubunge Mtu huyu huyu mwezi Agosti mwaka 2012 akihojiwa kwenye Makutano Show na Phina Mango wa Times FM alisema HAYA:

11194514_10153280430808069_4162734570589130331_o.jpg

Ukisoma hapa Home ndo utaona huyu jamaa hamna kitu kabisa!

Mzee VUTA-NKUVUTE na KIBARAone naomba hii quotation muiweke juu kabisa kwenye threads zenu ili watu waamue wenyewe.
 
Mzee wetu anasimamiwa na Abou Liongo, ni school mate, room mate chuo cha TSJ, tukaajiriwa pamoja na kuanza kazi siku moja, na kukaishi nyumba moja, a shared flat kwa maisha ya ujana wetu wote hadi tulipoa yeye na wife wake na mimi na wife wangu!, tukatengana vijana walipoanza kutokelezea. Abou is good, na jamaa yuko fit 'kurekebisha!', kuna thread ya editor fulani wa Mwananchi aliipandisha humu jinsi ile picha ya akifanya jogging ilivyoleta maneno pale Mwananchi, wakaitupia ukurasa wa mwisho, siku hizi picha zake ni front!.

Media zetu za nchi masikini, media masikini, editors masikini, waandishi masikini!, unategemea nini?!.

Pasco
Pasco you are wrong. Mzee anayo PR kampani ya Digital Generation na siyo huyo front wa BCC (Born Before Computer) Tayari imefanya kazi nzuri tu kuondoa uchafu wa Mzee kwenye caches za mitandaoni. Hata leo ukimuuliza Google unamjua "Mzee wetu"? Atakuambia YEES!.....The Next President of Tanzania. Na siyo yale mambo ya Richmond na EPA. Wamefanya Indexing na Ranking za kutosha kiasi kwamba huko mtandaoni yeye ni namba wani na hana doa kwenye servers za Search Engines. Hii ni Online PR Management ya hali ya juu hasa kwa watu tunaowaabudu (wafadhili, wawekezaji, etc) Kwenye mainstream media pia mambo yanakwenda uzuri. Ukiona IPP tayari wako ndani ya Team usibeze kwamba kazi ni ya kitoto. Hofu yangu ni moja na naomba sana isitokee! Iwapo Mzee wetu atakosa Urais basi kuna haja ya kutangaza janga la kitaifa kwa ajira na makampuni yatakayokufa kifo cha Scandinavian Coach Express. La kwanza litakuwa la Absalom Kibanda!
 
Unaweza nitajia head wa hii PR company?
 
Asante sana Mkuu Boreless kwa uthibitisho huu.

Mkuu mcubic nakushukuru kwa kutokubaliana. Lakini huoni pia inawezekana ni kutotaka kuona upande wa pili wa shilingi zaidi ya unaoujua?

NB: Hizi nukuu mbili za Mh. unazizungumziaje?
''“Ambacho sikufanya mimi ni binadamu sipo sawa kwa kila kitu hakuna binadamu ambaye hana makosa lakini yapo mema ambayo nimefanya lakini sasa nimeyakunja na kuyaweka pembeni na tumechora mstari nakuanzishachama cha siasa cha wazalendo,” Zitto; gazeti la Nipashe.....

Mkuu yeye mwenyewe ameshajieleza kuwa ni binadamu kuwa anamapungufu.....neno alilotumia ni Tumechora mstari (wingi) wenzake kiitikadi walianzisha naye akajiunga (simple). Leo hii kama ni kweli mkuu Tized umeanisha mapungufu ya zitto kwa vielelezo (tayari ameshasema yeye ni binadamu) mbona huorodheshi yale mema alofanya kwa vielelezo pia?...ukifanya hivyo itakua hiyo shilingi unayoniambia umeitendea haki.....sawa kabisa unavyonishauri mimi.
 
Last edited by a moderator:
Zitto alipoingia JF juzi na kukimbia bila ya kujibu maswala ya wachangiaji ndiyo nikajuwa hajui kujitangaza.
Mimi pia nikamshauri atafute PR firm.

Kafanya kosa la kitoto. Vipi akimbie nafasi nzuri ya kutangaza na kusimamia sera zake katika tovuti inayosomwa na watu wengi?
 
Kuwa muongo ni ''UPUNGUFU" au ni ''KUJIKUTA'' au ni ''UAMUZI''?

Nimenukuu tu maneno yake na kilichofuatia hayo maneno na matendo yake. Udhaifu umesema wewe mkuu.

Mkuu yeye mwenyewe ameshajieleza kuwa ni binadamu kuwa anamapungufu.....neno alilotumia ni Tumechora mstari (wingi) wenzake kiitikadi walianzisha naye akajiunga (simple). Leo hii kama ni kweli mkuu Tized umeanisha mapungufu ya zitto kwa vielelezo (tayari ameshasema yeye ni binadamu) mbona huorodheshi yale mema alofanya kwa vielelezo pia?...ukifanya hivyo itakua hiyo shilingi unayoniambia umeitendea haki.....sawa kabisa unavyonishauri mimi.
 
Kwanza nimefurahi kwa kuwa umenijibu kiuungwana bila jaziba au matusi....vipi kuhusu masuali mengine 1, 2, 3 na 7?

cc Tized

4. Elimu ya vyuoni na siasa ya kwenye majukwaa ni vitu viwili tofauti, ukizingatia jamaa alimaanisha kuachana na siasa. Ila ZZK angekuja 'public' na kueleza kuwa amebadilisha mawazo na sababu za kubadilisha mawazo kuwa anaendelea na siasa kwa sababu sio dhambi kubadilisha mawazo na sio kukaa kimya ili watu wajiongeze wenyewe. Ukiwa mwanasiasa maarufu kila unachokisema kuhusu masuala binafsi watu wanakuwa nacho, ukifanya tofauti watu wanakosa imani na wewe.

Hiyo kauli ya kuachana na siasa aliisema public ama ni tetesi tu? hata kama alisema...kuingia kwake kwenye chama kingine na kuanza kufanya siasa publicly ni jawabu tosha kua amaeamua kuendelea na siasa na si kurudi chuoni kufundisha. Kwa hili hana haja ya kuita press na kuutangazia umma eti nimebadili msimamo....action itself speak louder than words.

http://mjengwablog.com/siasa/item/4975-zitto-sitogombea-urais-wala-ubunge-2015.html

Mfano, kila mtu anajua kuwa Zitto hatagombea jimbo la ‘Kigoma Kaskazini' kwa sababu ametamka mwenyewe. Ikitokea amebadilisha mawazo na kutaka kurudi kugombea kwenye jimbo hilo, unafikiri hakuna haja ya yeye kueleza watu sababu za kurudi kugombea, na kwamba watu wakiona jina lake kati ya wagombea ubunge wa ‘Kigoma Kaskazini' pasipo kuwa na maelezo yake, unaamini wananchi hawatahitaji maelezo.

5. Kama NCCR inafanana kiitikadi 'kiasi' na ACT Tanzania/Wazalendo, Zitto alikuwa hana sababu ya kutaja vyama vyote vya siasa vya Tanzania kutokuwa na mrengo wa kijamaa. Alivyokuwa anaongea angesema 'vyama vyote Tanzania kasoro NCCR Mageuzi'. Labda amekuja kutambua ujamaa wa NCCR baada ya kutamka maneno hayo, na kama ni hivo, hatakuwa mkweli kusema alivyoondoka CDM alitamani kujiunga na NCCR badala ya kuanzisha chama kipya. Ina maana suala la kutamani kujiunga NCCR limekuja baada ya yeye kuwa Kiongozi wa ACT na sio kabla.

Mkuu una uhakika na kauli yako? Zitto alisema wao wanafuata ujamaa wa kidemokrasia (Mrengo wa kati kushoto) tofauti na CCM ambao ni wajamaa wa kushoto kabisa ( Japo kivitendo hawafanyi hivyo). Unajua suala la itikadi sio maarufu sana miongoni mwetu kwa kuwa tunafuata vyama kwa sababu ya kupenda watu, au vyama vyenye kauli fulani ( Muda mwingine kauli kali dhidi ya serikali). Lakini hili ni taifa huru lenye kutoa uhuru mpana wa kujieleza...hivyo kumtaka mtu aseme vile unavyotaka wewe.... nakunukuu ('vyama vyote Tanzania kasoro NCCR Mageuzi') inakuwa sio sahihi sana, kwa kuwa tunafikiri tofauti.

Zito alipoulizwa EATV facebook chat kipengele cha KIKAANGONI, kuwa kwanini hakujiunga na chama kingine cha upinzani, alijibu, (nanukuu) "Nilifikiria hivyo pia lakini nikaona kuwa ni vema sasa KUWA na chama cha siasa ambacho kina itikadi ninayoifuata na kuiamini nayo ni itikadi ya Ujamaa. Chama cha NCCR-Mageuzi pekee ndio kinakaribia kuwa na itikadi hiyo" (mwisho wa kunukuu). Nadhani umenipata.

Kingine ni kuwa kauli yangu ilikuwa na maana ya kuwa ingezungumzwa hivyo kusingekuwa na utata, wala haimaanishi kuwa ‘nilitaka' azungumze hivo.

6. Hapa unataka kutuaminisha kuwa Zitto alizungumza suala la 'usaka tonge' wa UKAWA kwa sababu kuna kauli ambazo kwa mtizamo wako zinafanana na hiyo zilizowahi kuzungumzwa kabla na CHADEMA. Kumbuka kuwa mda ambao Zitto anatoa hiyo kauli unaendana na mda ambao anaomba kujiunga UKAWA (Kupitia kwenye mikutano yake ya hadhara). Yeye ametoa kauli chafu kwa kundi la vyama ambalo mda huohuo anataka kujiunga nayo.

Sioni kibaya kwa kuwa wanasiasa ndivyo walivyo.....Zitto kuomba kuingia UKAWA ilhali aliwaita wasaka tonge sio issue sana, ni kama vile Cuf (Mashoga) au NCCR (Mapandikizi) walivyoweza kuungana na kufanya umoja wao...Hii inaamaanisha kwenye siasa (Mchezo mchafu) uadui unakuwa kwa muda tu...na hata kutokea wanaohasimiana kupatana. Mrema alikua anailipua CCM (Mzee wa mabomu) lakini leo hii anaisapoti CCM mpaka anaiomba imsaidie kupigania jimbo lake dhidi ya UKAWA...(Tafakari)

Suala la kuwaita ‘wasaka tonge' linawezekana sio ishu kwako, amewaita pia ‘wasaka utawala' utafikiri yeye hasaki utawala, lakini huwezi kuomba kujiunga na kundi flani na mda huohuo unawakashifu. Isingekuwa ‘ishu' usingeona linakera wafuasi na viongozi wa UKAWA. Labda unamaanisha ‘alitania' au ‘hakumaanisha'. Lakini ni mda mfupi toka atoke CDM ambapo pia amewakashifu kuwa ‘hawana demokrasia' na kuwa Mbowe ni ‘dikteta'. Sasa kauli zake ni ‘ishu' hata kwa Viongozi wa UKAWA unaowataja.
Lakini pia ZZK alipoulizwa kuhusu ‘origin' ya ACT alijibu (nanukuu) "Mimi sio mwanzilishi wa ACT Wazalendo isipokuwa waanzilishi walikuwa watu ninaoshabihiana nao kwenye itikadi kama PROF. KITILA MKUMBO na NDUGU MWIGAMBA" (mwisho wa kunukuu). Hilo ni jibu dhaifu kwakukwa kila mtu anajua kuwa watu hawa alishirikiana nao kila nukta kwenye mambo yao ya kusaka utawala CDM hadi kupelekea kufukuzwa kwao wote.

8. Kama wanasiasa wote ni waongo, ina maana na yeye pia ni muongo, na kwa sababu yeye ndiye ametoa hiyo kauli na sio wanasiasa wote kwanini watu waendelee kuamini anachokisema wakati kashasema kuwa yeye binafsi ni muongo. (indirectly)

Mkuu mimi na wewe wote tunajua kuwa wanasiasa wanatutumia sisi wananchi kama daraja tu kufikia malengo yao kwa klainisho kitamu kukisikia kinachoitwa "Ahadi".......hivyo ni waongo tu ikiwemo hata wale unaowapenda.

Mimi naamini wapo wanasiasa wanaojali maslahi ya wananchi kwa sababu inategemea sana na tabia ya mtu binafsi, lakini pia naamini wapo wanaotutumia ambao wapo wengi kwa maslahi yao. Mwisho wa siku wananchi watamchambua kwa aliowanyia sio aliojifanyia.

Kuhusiana na swali la KWANZA (1), hujalijibu isipokuwa ulikuwa unataka maelezo, kama majibu yako mengine, ZZK amewatupia mpira wenzake kuwa ndio waanzilishi wa ACT na sio yeye kama inavyotafsiriwa, na kwamba yeye alijiunga nalo kama wanachama wengine. Lakini nakuachia hili utafakari kama alianzisha yeye au sio yeye, ‘amejiunga na ACT Tanzania na ndani ya siku saba amekuwa KIONGOZI WA CHAMA'

Swali la Pili (2), Hali ilikuwa mbaya asingeendelea kukaa, viongozi wa CDM hawakumwamini na walikuwa hawamtaki. Kwahiyo upo sawa.

Swali la Tatu(3) Pia hujalijibu ila ulikuwa unataka maelezo. Alichaguliwa wala hakuteuliwa kama unavyosema.
http://www.tanzaniatoday.co.tz/news/zitto-kabwe-achaguliwa-kuwa-mkuu-wa-chama-cha-act-tanzania

Namba saba (7) sio swali, ila ni kielelezo kuwa kuna maswali mengine. Kwahiyo huwezi kusema umejibu swali wakati sio swali bali ni kielelezo.
 
Back
Top Bottom