Tized
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 4,025
- 5,955
Mkuu una maswali ya msingi, nachojaribu kukitafuta kwako ni hiki:-
1. Unafikiri hizo kauli si za Zitto?
2. Kama unafikiri hivyo, zake zikanushe kiushahidi ili na mimi nizithibitishe ukweli wake.
3. Unafikiri ndio siasa ilivyo kwa jamaa anavyojichanganya changanya na ndivyo inavyopaswa kuwa?
4. Unafikiri Hizo ni allegations kwake au kumchafua? Ni kipi amesingingiziwa hapo?
5. Unafikiri tunajaribu kumchafua labda wakati tumemnukuu tu kauli zake?
6. Unafikiri Hoja zako na msingi wa hoja iliopo mezani kuna ushabihiano? Huoni ni wewe tu unazipinga either kwa kuwa huzijui au kwa kuamua au kwa kuwa u jamaa yake? Haiwezekani yeye pia ni jamaa yangu? (umeona statement yangu ya kwanza ina ''chetu'' mwisho, unafikiri ilikosewa?)
7. Unafiri wote tuliomo humu tuna chuki na Zitto? Au Yeyote asiyeupande wake ni Chadema?
8. Kumsahihisha mtu ni kuwa na chuki naye?
9. Unafikiri kutokua na adui wa kudumu au rafiki wa kudumu unafikiri ni ishu ya UWONGO au mkakati?
Walao nikipata ufahamu zaidi juu ya hayo huenda ukawa umeielewa hoja au tukaweza kuleta hoja mujarabu zaidi.

Kwanza nimefurahi kwa kuwa umenijibu kiuungwana bila jaziba au matusi....vipi kuhusu masuali mengine 1, 2, 3 na 7?
cc Tized