Zitto: Nilipoamka leo nilikutana na ujumbe wa simu “tutakushughulia labda usirudi". Nikajisemea lipi jipya watafanya?

kuna wajinga wanataka kuingia kingi kwa zito tambuaeni zito mwehu ila waliopo nyuma yake ndo wameshika mshipi
 
Huyu magu atakuja kujuta we mwache tu.
 
Hebu niambie wewe unayejua kiingereza kimekusaidia nini? Kulalamika hovyo kila siku? Kwa kiingereza?
KIME NISAIDIA MNO.... KAZI ZANGU ZOTE ,BIASHARA ZANGU ZOTE NAFANYA NA WATU WANAO ONGEA ENGLISH PEKE YAKE. DAH KWA HIYO ENGLISH INANI SAIDIA SANA.
 
Zitto umewakamata vibaya sana nowa wanahaha, usilegeze uzi kaza zaidi ya hapo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema wabongo wanafiki sana! Mtu aliewahi kumsingizi amiri jeshi mkuu kifo na hakukamatwa leo anaenda ubeberuni anaenda kudai hakuna haki yakuongelea suala la wajawazito kurudi shule..! Serious
 
Kwahiyo haya mnayofanya yapuuzwe coz bado hatujaingia kwenye list, kenge kweli!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.

Jr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…