Zitto: Nilipoamka leo nilikutana na ujumbe wa simu “tutakushughulia labda usirudi". Nikajisemea lipi jipya watafanya?

Mwaka wa uchaguzi marathon. Power struggle. Who will win? Who will lose? Tukutane hapa hapa.
 
Sio wote mzee wanaojielewa hawashangili. Matorozobo ndo yanashangilia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi hii ipo kwenye kipindi kigumu ajabu ila wengi Hawajui. Hakuna mkosoaji na kila lifanywalo na serikal linainekana lipo Sawa. Mpaka vyombo vya habar vimekuwa washika bendera ktk kuwapumbaza raia.

Kwa majigambo yale ya " nchi hii ni tajir" leo Wala tusingeoshobokea hiyo pesa kiiivo Ila sasa no way out.

Leo Zito anainekana msaliti kumbe wao ndo wasalit nambar one.

Maisha yamekuwa magumu Kuanzia huduma mpaka bidhaa, vitu viko juu kuliko ilivyodhaniwa ktk awamu hii.

Kupanda kw bei za huduma na bidhaa unasababishw na kodi kuwa juu mno kuliko kawaida.

Chukulia Mfano kwenye sim tu, kifurush cha wiki ilikuwa 1500 tigo Ila Kwa sasa ingia menyu ya tigo kifurush cha wiki ni 3000. Jiulize serikal imekula bei gan apo?

Sio apo tu yan kila kona mpak kwenye vifaa vya ujenz cement ilikuwa10500/= saiv Ni 14500 kwa mikoa ya pwan iliyokarib na viwanda asa sipat picha mikoa ya mbali.

Ukienda kwenye bati ndo balaa kabisa yan kila kitu mpaka shida

Hata kutokuongeza Mishahara na kubana ajira Ni njia pia ya kubana na kujikusanyia pesa Ila zote hazikufua dafu ngoma nzito.

Yote haya yamesababushw na Kuanzisha mirad mikubwa Sana ambayo yote inahitaj pesa ya kutosh.

Hii miradi imekula pesa za wamasikin mno na bado inaendelea kula ila wachache ndo wanajua. Serikal inachukua pesa za maskin kwa kupandisha bei za huduma na bidhaa kupitia makato makubwa ya kodi na ushuru kwa makampun na mashirika

Standard gauge railway
Steaglers gorge
Flyover
Ndege
Kuhamia Dodoma
Nk
Asikwambie mtu mirad hii haiwez kuendeshw kw wakat mmoja na nchi maskin kama Tanzania. Na hii ndo inafanya maisha kuwa magumu mana pesa zote zinakamuliwa kutoka kwa watanzania zinaenda China mana ndo wanaojenga hii mirad.

bongo bwana ndo nchi pekee tunashangiliaga upuuzi unao tupuuza na kutuumiza

'Fundi Makini tena makini haswaa'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zitto zitto zitto wewe sio wa kututenda hivi.Umeona ukatushitaki kwa waume zako ili watuadhibu.
 
Hapo Zitto alikurupuka. Ana uhakika gani kama Mh Dokta mwenye degree tatu John Magufuli Pombe anahusika na hiyo sms ?
Kama mazuri anasifiwa yeye na mabaya yatamuandama yeye. Kwani ukisikia mtu kajiuzuru kwa kuwajibika anakuwaga ndiye katenda madudu au wale walioko chini yake ndiyo wametenda na muda mwingine hawajatenda kabisa ila wameshindwa kuzuia madudu yasitokee kama ambavyo vyombo vya usala vinashindwa tupatia majibu ya mengi yanayoendelea
 
"Nilipoamka leo nilikutana na ujumbe wa Simu “tutakushughulia labda usirudi”. Nikajisemea lipi jipya watafanya? Azory, Saanane na Kanguye wamewapoteza. Lissu wamemshambulia kwa Risasi ili kumuua. Erick na kina Tito wapo jela. Lipi lipya watafanya? Magufuli SIKUOGOPI aslani." - Zitto Kabwe.
Tutaamin vip kama kweli ametumiwa ujumbe kama kweli atume namba ilio mtumia ujumbe na ujumbe wenyewe mitandao watu tunaweza jua Nan kamtumia sababu watanzania ni wengi haiwezekani akosekane hata mmoja asiifaham namba pia mbona tundulisu alipo tishiwa alitaja mpaka namba ya gar Zito anashindwa nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana angu zitto wewe Ni mtu mdogo sana katika Taifa hili. Walikuwepo watu machachari zaidi yako waliojaribu kupambana na serikali Kama kina; Kambona, Ulimboka, lissu na wengine lkn mwisho wa siku wali/mezikimbia nchi zao hawana Uhuru wa utanzania Tena.

Kwahiyo wewe mrundi&mkongo tulia acha kuitikisa nchi yetu huiwezi hata kidogo.
Sawa kaburu mweusi
umesikika
 
Kama mazuri anasifiwa yeye na mabaya yatamuandama yeye. Kwani ukisikia mtu kajiuzuru kwa kuwajibika anakuwaga ndiye katenda madudu au wale walioko chini yake ndiyo wametenda na muda mwingine hawajatenda kabisa ila wameshindwa kuzuia madudu yasitokee kama ambavyo vyombo vya usala vinashindwa tupatia majibu ya mengi yanayoendelea
Umesomeka
 
Tutaamin vip kama kweli ametumiwa ujumbe kama kweli atume namba ilio mtumia ujumbe na ujumbe wenyewe mitandao watu tunaweza jua Nan kamtumia sababu watanzania ni wengi haiwezekani akosekane hata mmoja asiifaham namba pia mbona tundulisu alipo tishiwa alitaja mpaka namba ya gar Zito anashindwa nn

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni hatua gan mlichukua Tundu Lisu alipotaja namba ya gari?
 
"Nilipoamka leo nilikutana na ujumbe wa Simu “tutakushughulia labda usirudi”. Nikajisemea lipi jipya watafanya? Azory, Saanane na Kanguye wamewapoteza. Lissu wamemshambulia kwa Risasi ili kumuua. Erick na kina Tito wapo jela. Lipi lipya watafanya? Magufuli SIKUOGOPI aslani." - Zitto Kabwe.
Naomba wote mlio muunga mkono Zito juu ya swala la mimba za wanafunzi kama mungu atawajalia kupata watoto wa kike au wenye tayar wanao kama mtoto wako atapewa mimba bado mwanafunzi naomba msichukie Lea mtoto mpaka atapojifungua akimaliza arud shule pia hata alie mpa mimba msimshurutishe kwa lolote itabid iwe haki Sawa mbebesha mimba na mbeba mimba alafu muone kama Kuna mabint watamaliza shule na Nina waakikishia mimba zitakua nying Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anatafuta huruma kwa udi na uvumba, ha ha ha.

Msichokijuwa
1. Zuio la fedha
2. Zuio la Makonda
3. Statement ya tume huru

Hapa kuna kitu nyuma ya pazia, very solid

Nyinyi fanyeni utani wahusika wanaelewa kabisaa kinachofatia baada ya hii kasi ya top command from usa.
 
Back
Top Bottom