BAFA
JF-Expert Member
- Jul 19, 2011
- 3,059
- 5,927
Mkuu ni kweli kwani mungu hadanganywi
Zitto ni mpngo wa mungu sio level yenu cdm
Mkuu ni kweli kwani mungu hadanganywi
Alisaliti ndoa yako ama bavicha mnaweweseka sanazzk msaliti mkubwa
Zitto ni mpngo wa mungu sio level yenu cdm
Alisaliti ndoa yako ama bavicha mnaweweseka sana
Zitto anachokifanya sasa ni kujionyesha namna gani si mkweli katika maisha yake.
1. Anasema aliondoka CHADEMA wakati alifukuzwa na kila mtu anajua.
2. Anasema aliondoka CHaDEMA wakat hata alipofukuzwa bado aling'ang'ania kubaki chadema.
3. Zitto auambie uma wa Watanzania, kesi aliyokuwa ameifungua mahakamani kinyume cha katiba ya CHADEMA ilikuwa ni ya nini kama yeye mwenyewe alikuwa ameona CHADEMA hapamfai?
Zitto anajiabisha kwa kukataa kuongozwa na kuonywa. No wonder sasa anazidi kujionyesha namna gani huwezi kumwamini.
a. Mara anasema hagombei tena ubunge anakwenda kufundisha, mara amechukua form za kugombea ubunge bila kutoa ufafanuzi nini kimemvutia kugombea ubunge badala ya kufundisha.
b. Sasa anasema ubunge mwisho wake ni awamu hii awamu ijayo atawaomba Watanzania ridhaa ya kuwatumikia katika namna nyingine. La kufundisha limeishia wapi Zitto?
Ninamwomba Zitto anapowadanganya watu kwamba aliondoka CHaDEMA kwa sababu hakuona panamfaa, azungumzie pia motive yake ya kupokea fedha toka ccm ili avuruge CHaDEMA, na kuanzisha CHaMA cha siasa akiwa ndani ya CHADEMA. Kama kweli angelikuwa mwanachama mwama wa CHaDEMA angefanya haya? Anataka uongozi Makini wa CHaDEMA umfagilie tu pamoja na uchafu huo wote asionywe wala kuongozwa wakati anampango mchagu wa kuua chama?
Kwa zito uongozi bora ni uongozi holela? Ni chama gani ambacho kingeweza kuridha upum...bavu huo aliokuwa akiufanya akiwa CHADEMA?
Kwa tabia za Zito hawezi kudumu katika siasa. Ni mchonganishi na ndumila kuwili ambaye mwisho wake ni fedheha, vinginevyo ajirekebishe.
Ww ndio ueke ushahidi uliesema msaliti mm napinga sio msaliti atatoka vp na mama yngalimsaliti mama ako alipotoka nje ya ndoa mkuu
Naunga hoja mkono.
zzk msaliti mkubwa
Ww ndio ueke ushahidi uliesema msaliti mm napinga sio msaliti atatoka vp na mama yng
lala ukue mkuu
Mumefukuza nn sasa kinawauma pilipili musioila inawawashia nn
Mumefkuza mwacheni sasa afanye yako inawauma nn kumfuata fuata
mkuu me naic ukitoa shutuma bila ushahid dhid ya mtu. bas hoja iyo ni mfu. kila uz nnaofungua wa zitto lazma nikute neno"MSALITI" ila cjawai ona uthibitisho wa izo shutma ata kwa ma aliwatani wa chama.ama kweli mfa maji aachi kutapatapa
Yeye aliishaachana na chadema ila wao ndio wanaomfatafata wanawatuma mpaka vijana wao wasiojitambua ili waje kufanya vurugu katika mikutano ya ACT
Kibaraka Mkuu wa maccm
Hakuna mwana cdm kufanya vurugu dhidi ya act wacha ukichaa wako