Zitto: Niliondoka CHADEMA kwa sababu ya kunyanyaswa na kuonewa

Zitto anachokifanya sasa ni kujionyesha namna gani si mkweli katika maisha yake.

1. Anasema aliondoka CHADEMA wakati alifukuzwa na kila mtu anajua.

2. Anasema aliondoka CHaDEMA wakat hata alipofukuzwa bado aling'ang'ania kubaki chadema.

3. Zitto auambie uma wa Watanzania, kesi aliyokuwa ameifungua mahakamani kinyume cha katiba ya CHADEMA ilikuwa ni ya nini kama yeye mwenyewe alikuwa ameona CHADEMA hapamfai?

Zitto anajiabisha kwa kukataa kuongozwa na kuonywa. No wonder sasa anazidi kujionyesha namna gani huwezi kumwamini.

a. Mara anasema hagombei tena ubunge anakwenda kufundisha, mara amechukua form za kugombea ubunge bila kutoa ufafanuzi nini kimemvutia kugombea ubunge badala ya kufundisha.

b. Sasa anasema ubunge mwisho wake ni awamu hii awamu ijayo atawaomba Watanzania ridhaa ya kuwatumikia katika namna nyingine. La kufundisha limeishia wapi Zitto?

Ninamwomba Zitto anapowadanganya watu kwamba aliondoka CHaDEMA kwa sababu hakuona panamfaa, azungumzie pia motive yake ya kupokea fedha toka ccm ili avuruge CHaDEMA, na kuanzisha CHaMA cha siasa akiwa ndani ya CHADEMA. Kama kweli angelikuwa mwanachama mwama wa CHaDEMA angefanya haya? Anataka uongozi Makini wa CHaDEMA umfagilie tu pamoja na uchafu huo wote asionywe wala kuongozwa wakati anampango mchagu wa kuua chama?

Kwa zito uongozi bora ni uongozi holela? Ni chama gani ambacho kingeweza kuridha upum...bavu huo aliokuwa akiufanya akiwa CHADEMA?

Kwa tabia za Zito hawezi kudumu katika siasa. Ni mchonganishi na ndumila kuwili ambaye mwisho wake ni fedheha, vinginevyo ajirekebishe.

Mkuu kwa umri alio nao zzk hawezi kujirekebisha tena na hicho ni kilema cha maisha
 
mkuu me naic ukitoa shutuma bila ushahid dhid ya mtu. bas hoja iyo ni mfu. kila uz nnaofungua wa zitto lazma nikute neno"MSALITI" ila cjawai ona uthibitisho wa izo shutma ata kwa ma aliwatani wa chama.ama kweli mfa maji aachi kutapatapa

Ni msaliti ni msaliti ni msaliti ni msaliti,hutaki kanywe sumu ufweee
 
Yeye aliishaachana na chadema ila wao ndio wanaomfatafata wanawatuma mpaka vijana wao wasiojitambua ili waje kufanya vurugu katika mikutano ya ACT

Hakuna mwana cdm kufanya vurugu dhidi ya act wacha ukichaa wako
 
Tunamshukuru Mungu kwa sasa kila Mtanzania anamjua ni Tapeli wa kisiasa na kuwadi wa CCM
 
Back
Top Bottom