Zitto ni mtetezi hewa wa Watanzania

Zitto ni mtetezi hewa wa Watanzania

We mleta huu uzi ni ndezi kweli,tafuta maana ya hilo neno.
 
Vi thread vya kipumbavu kama hivi mods wangekua wanavitoa tu.
 
umekosa la kuongea wewe unataka tu kushuhulisha watu. inamaana list ya watu ambao hawakwenda bukoba ni zito tuu????
 
wenyeji wa kagera hawonyeshi njia, jana mkuu wa mkoa aliwahimiza wenyeji wa kagera wachangie maana juhudi zao hazijaonekana. ungeanza na wana kagera kwanza, halafu serikali imeshatoa hata mahema kweli?
 
Zitto ameweka bayana kwamba baba Jesca akitia mguu pale Bukoba, naye anatia mguu at the same day.
 
Back
Top Bottom