Zitto ni mtetezi hewa wa Watanzania

Zitto ni mtetezi hewa wa Watanzania

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,647
Reaction score
58,453
Zitto Kabwe pamoja na kutoka Kanda ya ziwa maafa ya Bukoba hajatia mguu Kagera. Zaidi ya kutoa pole kwenye fecebook. Hivi anafikiri maafa kama yameweza kuikuba Bukoba hayawezi ikumba Kigoma?

Wakati yote ni Kanda ya ziwa na Kigoma kwenye ziwa Tanganyika ambalo ni lift valley lake. Na yeye mkoa Jirani na kwake ni Bukoba.

Je ikitokea kwenye jimbo lake hataenda pia?

Kwanini anajifanya ni mtetezi wa watanzania wakati ni tapeli hatumuoni kwenye maafa?

Huyu kweli ni mtetezi hewa wa Tanzania.

Utamukuta Facebook tu akijisifia, akiisifia ACT, au kumsifia meya wa kigoma;
Zitto ni mnafiki kweli sio mtu wa kumuamini tena, labda nimkumbushe tu Tanzania ni yetu sote iwe Bukoba Kigoma Mtwara wote ni ndugu na janga linaweza tokea sehemu yeyote.

1474624466284.jpg
1474624528757.png
 
Chuki gani lazima tuwe wakweli anaumwa ? Mbatia anatoka vunjo mpaka bukoba yeye yupo wapi?
Kila jambo sio lazima Zitto awepo,Mbona wazalendo unao wakubali wewe wamekimbilia Canada na wengine wameambatana na mafisadi.

Au uzalendo kwako nikufika bukoba kuhani waliofiwa?.

Acha chuki chuki.
 
Angeenda kuna ambao wangesema amelichukulia tukio kisiasa, kama watu walivyowasema viongozi wa CDM na NCCR Mageuzi.
Uzuri ni kwamba 'What you do, people must talk'
Zitto atakuwa anafanya kile anachoona kinamfaa/anakiweza badala ya kuishi wanavyotaka watu.
 
Hakuna cha chuki Lema atoke arusha,mbatia atoke vunjo ,Lowassa atoke monduli mbowe atoke Hai yeye ndiye ashindwe kutoka Kigoma ??
Mkuu comment zako ndio huwa zina chuki juu yake sio leo tu kulingana na mada hii,bali comment zako nyingi huwa unaonekana una chuki nae.
 
Zitto Kabwe pamoja na kutoka Kanda ya ziwa maafa ya Bukoba hajatia mguu Kagera.
Zitto anatoka Kanda ya Ziwa tena! Anyway watampelekea ujumbe akina Dotto Rangimoto kwakuwa mwenyewe hayumo humu.
 
KANDA YA MAGHARIBI KANDA YA ZIWA? AU HIZO SIO KANDA
MBILI TOFAUTI?
Zitto Kabwe pamoja na kutoka Kanda ya ziwa maafa ya Bukoba hajatia mguu Kagera. Zaidi ya kutoa pole kwenye fecebook. Hivi anafikiri maafa kama yameweza kuikuba Bukoba hayawezi ikumba Kigoma?

Wakati yote ni Kanda ya ziwa na Kigoma kwenye ziwa Tanganyika ambalo ni lift valley lake. Na yeye mkoa Jirani na kwake ni Bukoba.

Je ikitokea kwenye jimbo lake hataenda pia?

Kwanini anajifanya ni mtetezi wa watanzania wakati ni tapeli hatumuoni kwenye maafa?

Huyu kweli ni mtetezi hewa wa Tanzania.

Utamukuta Facebook tu akijisifia, akiisifia ACT, au kumsifia meya wa kigoma;
Zitto ni mnafiki kweli sio mtu wa kumuamini tena, labda nimkumbushe tu Tanzania ni yetu sote iwe Bukoba Kigoma Mtwara wote ni ndugu na janga linaweza tokea sehemu yeyote.

View attachment 405539View attachment 405541
 
Ni mpuuzi pekee atakayekubaliana na hoja dhaifu kama hii
 
Nimekumbuka maneno ya boby marley wimbo wa zimbabwe maneno yasemayo"soon we will find out who is the real revolutionary" sasa tumeanza ku realize.
 
Back
Top Bottom