Zitto ni kiongozi shupavu

Status
Not open for further replies.
Okey tujenge chama tujenge cdm tusilete mgawanyo mapema hivi ila nimeaminiii no one is perfect zzz anapondwa do slaa anapondwa mbowe anapondwa kila mtu Ana kundi na maadui wake cdm wenzangu hii funika kombe mwanaharamu apite itatuumiza mbeleni tujipange uhuru wa kuleta thread na kukashifu watu utaturudisha nyumba viranja wajipange kutoa tofauti baina yao kwa dhati lengo la ukombozi wa kweli litimie watanzania tunahitaji ukombozi
 
mwambie aje agombee ccm, chadema kuna vichwa, safari hii hakuna kupitia ujana km 2005 dhaifu alipodai ni kijana
 
ushupavu wake umetoka wapi? chadema ilikuwepo kigoma wakati zitto akiwa shule ya msingi! unakumbuka enzi ya kaburu? zitto anataka kukuza cv yake lakini ndiyo hivyo tena maji yamezidi unga, "SAMAKI ANANGUVU AKIWA MAJINI"
 

fafanua mkuu,mawastliano aina gani, sijakusoma bado.
 
Upo sawa mkuu,ila Zitto kuwasiliana na kaimu wa UWT sio kosa,siasa sio uwasama kiivyo.
 

utafiti huo ulisaidiwa na dr bana?zito amejichafua sana.mtaji wake wa kisiasa unaporomoka fasta.magamba yamemchanganya.lakini bado anavaa magwanda na anaonyesha ishara ya vidole viwili.kauli kauli zake siku hizi zina harufu yakimagamba zaidi.mfuatilie tu utagundua. Magamba bana? We acha tu!!!
 
pole sana kwa kuhisi kuwa Jf ndipo mahali pa kutueleza habari kama hii!
 
Mimi ninashukuru tu Mhe. Zitto ayupo nao hao mazandiki wengine wasio na nia njema na amani ya nchi yetu.

Mhe. Zitto naamini atakuwa tofauti nao sana kwenye mambo yao haya ya maandamano ya kipuuzi, ndio sababu ashiriki.

Mhe. Zitto afanye maamuzi sahihi kabla ya 2015, asije akafa nao hawa wachumia tumbo wakina Mbowe, Slaa, Lissu, Sugu, Wenje, Msigwa, Kiwia na Lema.
 
Zito anatisha Kama njaa chukua uongozi ufumue Mfumo Wa kichaga chadema alete utaifa
 
mbunge wa kigoma kaskazini mh.zitto kabwe ni kivutuo kwa watanzania wengi hasa vijana kutokana na umakini wake ktk kuyaendea mambo.jambo hili ndilo lililopelekea wabunge vijana wengi kuaminiwa na wapiga kura kwakuwa waliaminiwa kuwa na uwezo kama zitto.wapo waliopatia kwa kuchagua vijana makini lkn wapo waliopata hasara kwa kukosa kabisa wawakilishi.ubungo walilamba dume kwa kumchagua mbunge makini mh.mnyika yaani natamani angekua mbunge wangu.kawe nako hawakukosea sana japo mwanzo sikupenda mbatia akosekane mjengoni kutokana na umakini na busara zake,wabunge vijana wamekua wakijitahidi ili wapate umaarufu kwa watanzania kama zitto lkn wengi wameshindwa kuivunja rekodi ya zitto.ni mnyika,mbatia na mdee wanaokonga nyoyo za watanzania kwa umakini busara na kusimamia hoja.endapo wataendelea na trend hiyo naamini watagamikiwa kuivunja rekodi ya zitto.lkn wabunge kama lema,sugu,msigwa,wenje,kiwia,nasari,na kaka yao lissu ni mzigo kwa chama na hasara kwa waliowchagua.
 
Huo ni mtazamo wako tu na zero yako ya form four. Bila Mh Msigwa mimi na wewe tusingejua leo kuwa Katibu mkuu Kinana ni JANGILI na genge lake linaua Tembo 30 kila siku.

Chama lazima kiwe na wabunge wenye sifa na ujasiri tofauti. Ila umenifurahisha kwa kuwa unaamini MBUNGE ni yule wa CHADEMA tu maana magamba wenzio hujawataja kabisa kwa kuwa unajua fika wako bungeni kusinzia tu na kula posho. Viva CDM
 

Rudi kajipange uje na vigezo kwa nini undhani Zitto anafaa kuwa Rais
 
acha upumbavu wako
 
zitto ni zilipendwa tena ya bongofleva, afadhali angekuwa ya muziki wa dansi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…