Zitto: NCCR kuna ugomvi

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
2,819
Reaction score
1,455
Kuna stori imejificha hapa,

Katika kujitetea alipokuwa kikaangoni eatv, zitto kabwe ameeleza kuwa alishindwa kujiunga na Nccr kwasababu kunaugomvi. Hivyo akaamua kuanzisha chama kingine kinachofanana na nccr.

Tunamwomba zitto atueleze Nccr kuna ugomvi gani uliomfanya ashindwe kujiunga nao?.
 
ZZK keshajiunga na ACT
mwacheni jamani huyu Muha wa watu kwani Vyama vyote vina ugomvi
na ukabila mtupu
jana alikuwa CHADEMA wakamtegea, akaanzisha cha kwake
leo Mrema wamemtimua TLP
Zitto angeweza kweli kukaa na waKaskazini . hata Mziray lazima kingewaka
 
Hivi unajua hata ulichokiandika? Rudio kusoma andiko lako na ufanye masahihisho
 
Kwani haukuona Kafulila alifukuzwa na Mbatia mpaka wakapelekana mahakamani.
 
Kwani haukuona Kafulila alifukuzwa na Mbatia mpaka wakapelekana mahakamani.

Mkuu hayo yalishaisha na sifikiri kama hiyo ni sababu kama kweli alikuwa na nia ya kujiunga na nccr
 

kama kuna ugomvi yeye ndiye aliyeuasis huo mgogoro maana alikuwa anataka kufanya mapinduzi ili awe mwenyekiti wa nccr.

Tatizo zitto anataka uwenyekiti
 
Ukiona mtu anaaza kusema cha hiki ni cha kanda fulani,chamahiki cha kabila fulan,chama cha dini fulan.ujue huyo mtu kashiwa hoja.anatasuta msaada wa hoja zake za ukanda ukabila udini zi mbebe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…