Zitto na Nchemba now on tbc




Nakubaliana na wewe ndugu.
Huu ni zaidi ya ULIMBUKENI.
Hivi hakuna aliyetoka maeneo ya jimbo lake au anayejua maana ya majina yake,
"MWIGULU NCHEMBA?"
 

NILISOMA KOZI YA UCHUMI PALE UDSM MIAKA MITATU MBELE YA MWINGILU NA HIZO A NILIZIPATA NYINGI TU KUTOKA KWA HAO WACHUMI WA DoE AKINA MZEE OSORO, MTATIFIKOLO, MWINYIMVUA, RUTASITARA, AVY MBELE ETC. THE TRUTH OF THE MATTER IS THAT, THE ECONOMICS COURSE AT UDSM IS OUTDATED AND USELESS IN ALMOST EVERY ASPECT. NIMEENDA VYUO VINGINE VYA WAMAREKANI NA NINAONA TOFAUTI ZILIVYO KUBWA. HAKUNA KITU TUNAFANYA PALE UDSM NA HATA HAO WANAOFUNDISHA WANAJUA HIVYO HASA KAMA WALIPATA BAHATI YA KUFANYA PhD ZAO NJE YA HUO MTANDAO WA AERC NA UDSM. I WOULDN'T BE PROUD OF ANY A's I SCORED AT UDSM.
 

public finance was one of the easiest courses i studied at udsm whoever failed to get an a in that course then he would almost certainly fail in all other economics courses taught at the department of economics. After all the public finance cause at udsm used the oldest book by joseph stigliz... And whoever taught the cause never refered any peer reviewed journal articles....
 
nchemba mshamba tu yule. nafkir katka wabunge washamba-washamba walioko magamba ni hili li mwigulu.
 
Leo nimesikia Mwigulu sasa anadai wapinzani wanapinga bajeti kwasababu wanatumiwa na nchi za magharibi wanaotaka kupora rasilimali za nchi.

Nimejiuliza kidogo, wamekuwa wanapora dhahabu, tanzanite, almasi mpaka wanyama wazima wazima. Hivi leo ndio tunakumbuka kwamba kuna rasilimali za nchi?
 
Wapiganapo fahari wawili nyasi huwaka moto
Unajua ingekuwa wanapigana inakuwa faida kwetu ingekuwa safi but wanapigana wao halafu wanatuangukia sisi.....tabu juu ya tabu
 

hapo sasa...ila izi siasa unaweza kuwa kichaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…