Zitto alikuwa mbele economic class ila eti Nchemba anadai eti yeye aliendelea na Masters akapa A" public finance/Admin inatija gani kwa wananchi wa kawaida
mwiguru
amesoma mpango wa maendleo wa 5 yrs ulioandikwa kwa english,anasema umepanga chini ya 35% za maendleo.zito anasoma mpango ulioandkwa kwa kiswahli kuwa ni 35% ila budget ya mwaka huu wametenga 0% kwa fedha za ndani
Kujadili hoja na mtu kama Mwigulu ni kazi sana maana hoja zake ni za mabavu zaidi na zenye kulazimisha wasikilizaji kuipenda ccm inayochungulia kaburi.
Mchemba kaumbuka anasoma kifungu cha kitabu cha maendelo akajikuta kinampinga mwenye alichokisema akajikuta anatoa macho kama mjusi kabanwa kwenye mlango Zitto na Marin wakcheka mpka watangazati wa studio namashaka sana na Mchemba.