Zitto na Makamba hamtawai kuwa Marais Wa nchi hii, Hakuna rais anapatika Kwa usaliti

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Sasa watanzania wote wameamini kuwa Zitto &.co ACT ni genge la ccm.

Kashifa hii aliyoitoa Afande Sele akimshutumu Zitto kupewa pesa na Kikwete sio ya Kwanza Kwa yeye kutojibu chochote.

Inaonyesha bila Chenga kuwa Kikwete, Dr Dau na Zitto walifanya ushirikiano Wa kutisha kukwapua pesa za Wafanyakazi pale NSSF ili kutengeneza genge la wauni ACT.

Kwa sababu mpaka sasa .

Zitto ajawai jitokeza kukanusha kuwa alipewa pesa na Dr Dau ili kuua upinzani na kujaribu kukipaisha Chama mfu ACT kupitia chama chakavu Ccm.

Zitto ajawai jitokeza Kukanusha kuwa ajapewa pesa na Kikwete ili kuudhofisha upinzani na Kumtukana Lowassa.

Kwanini kwenye mambo kama Mswada Wa habari aliwai kukanusha?tena Kwa haraka sana?

Kwanini kwenye kushambuliwa na vijana Wa Lumumba kuusu aliyekuwa waziri Wa mambo ya ndani Kitwanga aliwai kuja kukanusha.

Naomba kutoa angalizo Kwa watu wote wenye tabia kama za Zitto Kabwe waliosaliti mabadiliko,Kusaliti vyama au kusaliti Taifa au kuwasaliti wenzao makosa yao ya usaliti hayatawaacha.

Hivi wewe Zitto ndio unategemea kuwa Rais rais gani msaliti? Ulishamuona wapi?

February nawewe unategemea kuwa Rais ,Rais gani msaliti ?.Kwa usaliti unaoufanya ndani ya CUF na pesa ya kodi mnayokwapua kumpa Lipumba Kuua upinzani na kikundi chenu cha kiuni hakika nikwambie tu msaliti yeyote mwisho wake ni mbaya na yeye uishia kusalitiwa .

Maana ujawai kuja kukanusha kuwa utumiki kuiua CUF.

Mnafanya mambo ya kiuni kuwapa raha Wakuu Wa kaya huku mkisahau mnajimaliza.

Hakuna mtu yeyote alishawai kuwa Rais Wa nchi hii Kwa kuwa msaliti wengi uwa wanakuwa wasaliti baada ya kumaliza urais wao.
 
Wote hao ni opportunist.

February ndo wale wale, ni tapeli na mpiga dili, akiingia ikulu sijui ndo itakuwaje. Kwanza yeye ndio alietuletea hii cyber crime act.

ZZK yeye ni a wolf in sheep's clothing.
 
Wasitegemee! Hawana maana hawa!.

Hatari sana hawa jamaa
 
Back
Top Bottom