Gwota
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 205
- 92
Wa ndugu,
Huyu jamaa wakati kamati kuu inamalizika na kutangaza mikutano ya jana ya Arusha juu ya kuwaelewesha wananchi juu ya upuuzi wa uliofanya na madiwani wale ilitangazwa atakuwepo, Cha ajabu sijamsikia.Kama kuna anayejua sababu za huyu mtu kukosa wakati viongozi wenzake wote walikuwepo atujuze. Nina wasiwasi sana na huyu mtu amerudia tabia yake ya kujitenga na jeshi letu la ukombozi.