Zitto na ACT yako mjiandae kisaikolojia

Zitto na ACT yako mjiandae kisaikolojia

mmeanza kuweweseka mapema wana UKIWA.Mlidhani mna lenu katika nchi hii sasa mnaelekea kupata kura kiduchu sana. na mtapoteza viti vingi sana vya ubunge bealive or not. tutakutana hapa hapa Oct 26-30.

Zitto bado anawanyima usingizi kumbe. aise mnatia huruma wafuata mkumbo. chama bado kina Mwaka mmoja kinawatesa ivyo vyote. poleni sana.
 
natengua kauli yangu ya awali na naungana na wewe 100%. pamoja sana.

Zito mpaka sasa hivi kachanganyikiwa kwani mamvi yamechanganyikiwa yanawaza pengine kunywa sumu sisiemu imechoka hata fedha ya kampeni mgogolo haiwezi kuendesha taasisi mbili yeye arudi kigoma akale migebuka tu.
 
Mtoa mada unauharo kichwani mwako sio bure! Hebu tafuta pakuupeleka huo uharo wako sh .og.a ww
Naona mwisho wa Zitto sasa kisiasa ndio umefikia tamati baada ya EL ambaye alikuwa anampigania na kumtetea kupata fedha za umma kuendesha mikutano yake kufika tamati. Hadi sasa Zitto anajutia maamuzi yake ya kukubali kusaliti Chadema (rejea email ya ZZK kwenda kwa Nchema tarehe 9 July 2015) ukwapuaji wa fedha hizo sasa umefika tamati baada ya JP Magufuli kupita kwa kishindo kwenye mikutano Yao hapo Dodoma, Dr JP Magufuli hana makundi
 
Wasubiri wataumiss ule uhuru waliopewa na jk wahuni hao!
Badala ya kusema kupitishwa kwa Magufuli ni pigo kwa UKAWA unakimbilia kuongelea ACT. hivi unafkiri huyo Malaya wenu SLAA atafurukuta hapo?
 
Zito mpaka sasa hivi kachanganyikiwa kwani mamvi yamechanganyikiwa yanawaza pengine kunywa sumu sisiemu imechoka hata fedha ya kampeni mgogolo haiwezi kuendesha taasisi mbili yeye arudi kigoma akale migebuka tu.
mtahangaika sana nyie vinyesi. mtu wenu amekatwaaaaaaaaaaaaaaaa na hao wapiga dili oct sio mbali wataipata.
 
Back
Top Bottom