Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,045
- 13,483
Mkishalewa gongo zenu pumzikeni tu, sasa ni nini umeandika hapa? Nani kakuambia safari ya LOWASSA imefika tamati?
Mnaanza tena 2020 au?

Safari yake iliyobakia ni ile ya kutoka Dodoma kwenda Ujerumani then atarudi Monduli kupumzika mpaka Mungu atakapomchukua karibuni..
kwa taarifa tu mkileta mambo ya kijinga tunapiga za ukabila ,magufuri anashinda na zitto atashinda kwao na ninyi na uchaga wenu mkashinde kwenu
Mkishalewa gongo zenu pumzikeni tu, sasa ni nini umeandika hapa? Nani kakuambia safari ya LOWASSA imefika tamati?
Badala ya kusema kupitishwa kwa Magufuli ni pigo kwa UKAWA unakimbilia kuongelea ACT. hivi unafkiri huyo Malaya wenu SLAA atafurukuta hapo?
Mungu atakuchukua wewe, au mtu wako wa karibu unayempenda kabla yake, Tupinge, Kabla ya Oktoba lazima nyumbani kwenu pawe na msiba!!! MUNGU hadhihakiwi!!!
Naona mwisho wa Zitto sasa kisiasa ndio umefikia tamati baada ya EL ambaye alikuwa anampigania na kumtetea kupata fedha za umma kuendesha mikutano yake kufika tamati. Hadi sasa Zitto anajutia maamuzi yake ya kukubali kusaliti Chadema (rejea email ya ZZK kwenda kwa Nchema tarehe 9 July 2015) ukwapuaji wa fedha hizo sasa umefika tamati baada ya JP Magufuli kupita kwa kishindo kwenye mikutano Yao hapo Dodoma, Dr JP Magufuli hana makundi

RAIS hawezi kutoka Kaskazin kwa Sababu watu wa huko huwa mnajipendelea na mnaangalia maslahi yenu kwanza. hivyo msitegemee hata huyo SLAA mnajixumbua.
pumba katika ubora wake. Zitto atakuwepo bungeni upende usipende bwe'ge we.
natengua kauli yangu ya awali na naungana na wewe 100%. pamoja sana.Yaani mimi naombea Zitto arudi bungeni kuliko ccm kuchukua kiti cha ubunge pale Kigoma mjini. Mimi ombi langu tu wabunge wa upinzani wawe wengi ili kama ccm itachukua Urais, serikali iwe na wakati mgumu pale bungeni.