Zitto: Mshikamano au Uvumilivu?

Zitto: Mshikamano au Uvumilivu?

fangfangjt

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2008
Posts
571
Reaction score
139
Mshikamano au Uvumilivu? Hata msingi wa uvumilivu sasa una nyufa.
From Harmony to tolerance towards tension - political and religious. Sooner than later tribal. A nation in reverse gear..... Someone must put a stop. YOU

Zitto
 
Hope Mwigulu Nchemba atafikiwa na huu ujumbe wenye busara za hali ya juu. Someone must say ''Mwigulu, stop destructions of our lovely nation''
 
Very correct. Hata katika maisha ya kazini au mtaani watu watakusema mkorofi endapo tu utadai haki yako au kukataa kuonewa. Hiyo ndo Africa.
 
Hope Mwigulu Nchemba atafikiwa na huu ujumbe wenye busara za hali ya juu. Someone must say ''Mwigulu, stop destructions of our lovely nation''

Leo ZITTO amekuwa na busara kwenu wa CHADEMA kweli au unafiki? Ngoja atangaze kuchukua fomu ya urais tuone kama hamjaanza kujinyea hovyo.
 
Mshikamano au Uvumilivu? Hata msingi wa uvumilivu sasa una nyufa.
From Harmony to tolerance towards tension - political and religious. Sooner than later tribal. A nation in reverse gear..... Someone must put a stop. YOU

Zitto

Karibuni CHADEMA-MBOWE na CHADEMA-ZITTO muanze kuvutana.
 
Itafika mahali SERIKALI itachoka na huu upuuzi wa MBOWE.
 
Leo ZITTO amekuwa na busara kwenu wa CHADEMA kweli au unafiki? Ngoja atangaze kuchukua fomu ya urais tuone kama hamjaanza kujinyea hovyo.
Nani ajinyee mburula wewe,Zitto ana uhuru wa kuchukua muda wowote na ni haki yake kikatiba,nani ajinyee kwa haki ya mtu mwingine achaumburula mtumkubwa na spinning ya kitoto.
 
Hope Mwigulu Nchemba atafikiwa na huu ujumbe wenye busara za hali ya juu. Someone must say ''Mwigulu, stop destructions of our lovely nation''
Mwigulu ni mwiba kwenu anawachoma kote kote majukwaani na mitaani.
 
Mshikamano au Uvumilivu? Hata msingi wa uvumilivu sasa una nyufa.
From Harmony to tolerance towards tension - political and religious. Sooner than later tribal. A nation in reverse gear..... Someone must put a stop. YOU

facebook

We have embraced as a nation the politics of selfish gains visa vie national gain ... it's so obvious to a point that none of us is thinking of people collectively other than selfishly ... it's acceptable for one
Seeking a political post to brag that he/she is a reason for a constituency existing hospital or secondary school or tarmac road ... a selfish motive that
incapacitate people collective efforts towards their own development down to individualistic dependency which borne this religious, tribal and political intolerance.
 
Leo ZITTO amekuwa na busara kwenu wa CHADEMA kweli au unafiki? Ngoja atangaze kuchukua fomu ya urais tuone kama hamjaanza kujinyea hovyo.
Chadema ukitaka ubaya chukua fomu kugombea urais au uenyekiti
 
Leo ZITTO amekuwa na busara kwenu wa CHADEMA kweli au unafiki? Ngoja atangaze kuchukua fomu ya urais tuone kama hamjaanza kujinyea hovyo.

KWANI lini aliacha KUWA na busara fuateni mambo yenu ya CCM au jadilini HOJA badala ya mtoa HOJA
 
Karibuni CHADEMA-MBOWE na CHADEMA-ZITTO muanze kuvutana.
...Mkakati wenu wa kumtumia Zitto kuivuruga CDM umeshindwa - Na yeye kishawashtukia. Poleni subirini kichapo 2015
 
Mingoi na Thatha: acheni kuchefua mtandao huu! Kama hamna rejoinders ambazo ni costructive kaeni kimya. Hapa hoja hujibiwa kwa hoja na sio uchwara wa mitaani!
 
Mingoi na Thatha: acheni kuchefua mtandao huu! Kama hamna rejoinders ambazo ni costructive kaeni kimya. Hapa hoja hujibiwa kwa hoja na sio uchwara wa mitaani!

Mkuu, bado ni asubuhi. Wasipofanya hvo ssa inaweza kufika jioni hata elfu ishirini hawajatia mkononi. Kwa kufanya hayo wameishajihakikishia lunch tayari. Wewe unataka wafe, utalisha familia ao wewe?
 
Leo ZITTO amekuwa na busara kwenu wa CHADEMA kweli au unafiki? Ngoja atangaze kuchukua fomu ya urais tuone kama hamjaanza kujinyea hovyo.

Atangaze kuichukua fomu si sahihi kwa maana moja tu! Akichukua na akawa ndiye mgombea pekee wa CDM .... CCM wakiweka pingamizi ya umri wa mgombea ndio itakua mwisho wa CDM ktk uchaguzi huo ... wengi nje ya CDM mnapenda sana kumkweza Zitto na sijui kwanini amekua kipenzi wa wanaCCM .... Leo nimepata picha kumbe wanafahamu ili kuiondoa CDM kwenye kinyang'anyiro cha urais 2015
ni kuhadaa ulazima wa CDM kumteua Zitto kwa kila mbinu hata ukabila ili wanaCDM waamini hivyo na kumteua Zitto...!
 
Hope Mwigulu Nchemba atafikiwa na huu ujumbe wenye busara za hali ya juu. Someone must say ''Mwigulu, stop destructions of our lovely nation''

Naona tunafanya kosa kubwa sana katika kuliangalia, kuelezea na hata kutafuta ufumbuzi wa matatizo yanayoibuka sasa ndani ya nchi yetu. Mwigulu ni nani hasa mpaka awe ndiyo chanzo na sababu ya kuzungumzwa na kila mtu.

Mwenye mamlaka na nchi hii na ambaye amekabidhiwa dhamana na wajibu wa kuongoza nchi hii kwa sharia na kanuni anafanya nini. Kwa nini ameamua kunyamazia uovu na madhila yanayowsibu raia wa nchi. Ni vyema Watanzania wakaelezwa kama ameshindwa kuongoza ama amekasimu madaraka hayo kwa mwigulu na wengineo.

Viongozi wastaafu wa nchi hii ambao mpaka leo mnaishi na kulelewa na kodi za wananchi wachovu na waliokata tamaa ya kupata haki na kuishi kwa amani ndani ya nchi yao mnafanya nini katika hali kama hii. Kwa nini hamkemei na kupaza sauti zenu kukemea hali kama hii. Kwa nini mmeamua kukaa kimya ilhal Tanzania inamomonyoka kama kipande cha mlima ama kipande cha barafu kilichotumbukizwa ndani ya maji ya moto. Tunao marais wastaafu (Mzee Mwinyi na Mzee Mkapa), tunao mawaziri wakuu wastaafu (Mzee Malecela, Mzee Msuya, Mzee Warioba, Mzee Salim na Sumaye) kwa nini mmeamua kufumbia macho na kuwa viziwi kwa haya matatizo. Mtajitetea vipi kwa Tanzania kuingia kwenye historia ya ajabu wakati mnaangalia kwa macho yenu.

Wasomi wakongwe na wajuzi wa mambo ya sharia, wanaharakati na watetezi wa haki za binadamu mnafanya nini katika hali kama hii. Ni bora kutambua kuwa hakuna serikali ili watu wafikirie ama kutafuta namna nyingine ya kuishi kuliko hali tunayoshuhudia sasa ya watu kuishi kwa hofu na wasiwasi muda wote. Imefika mahali hata pale wananchi wanapokuwa ndani ya nyumba ya ibada wanakuwa hawana amani na wanasali na kuabudu katika hali ya wasiwasi na hofu.

Tanzania tunaelekea wapi jamani?
 
Mingoi na Thatha: acheni kuchefua mtandao huu! Kama hamna rejoinders ambazo ni costructive kaeni kimya. Hapa hoja hujibiwa kwa hoja na sio uchwara wa mitaani!
Mkuu Mavumbi,lipi hapo la mtaani kwani Zitto akuitwa wa kuja kwa kosa la kutumia haki yake kikatiba kama mwanachama wa Chadema kugombea uenyekiti? Tatizo lenu Bavicha mnaona JF ni ubao wenu wa matangazo na propaganda za CDM.
 
Back
Top Bottom