Zitto: Millicom Tanzania NV Netherlands which owns Tigo Tanzania Wachunguzwe haraka Sana

Reucherau

JF-Expert Member
Nov 26, 2014
756
1,740
TRA International Tax Unit hawa wakimaliza mambo yao mahakamani tazameni vitabu vyao vya mahesabu. Huu mfumo wa umiliki ( ownership structure) ni dalili kubwa za ukwepaji kodi ( Tax Avoidance).

Millicom Luxembourg ( a tax haven ) owns Millicom Netherlands ( low tax jurisdiction) which owns Millicom Africa NV Netherlands which owns Millicom Tanzania NV Netherlands which owns Tigo Tanzania
1f633.png
1f633.png
1f633.png
. Wachunguzwe haraka Sana.

Pili, Serikali ilikuwa na Hisa kwenye hii kampuni toka wakati wa Mobitel ( 20% ) zikauzwa kinyemela mwaka 2004 kwa hawa hawa Millicom Luxembourg. Hili nalo lichunguzwe Kwa kina.

 
Angalau sasa Zitto amerudi kwenye masuala ya Msingi, yale ya wauza ngada wachie wayamalize wenyewe, Aibu ije ibaki kwao.
Zitto sio wakuaminika , hiyo mambo ya tax heaven ilikuwepo toka zamani Kama alivyo elezea pamoja Na huo uuzwaji Kinyemela kwa shares Za serikali Na hakuwahi kulipigia Kelele Hapo awali Na alikuwa kwenye kamati ya Bunge ya mahesabu ya mashirika ya umma Na serikali iweje atake uchunguzi Sasa Baada ya tukio la Manji??
 
Kumbe hatuishabikii Yanga ila tunatumia vitu vya mwana yanga
Manji
 
where do we stop?

Bakhressa ana kampuni ya AZAM TV ambayo subsidiary yake inafanya Transfer pricing ya decoder zake kupitia Mauritius....ambayo ni TAX HAVEN
 
Kwahyo hizo hisa ziliuzwa kweli kwa Manji au majitaka? Mana kukingana na hilo tangazo la tigo ni kwamba manji hana umiliki wa hisa huko tigo au imekaaje ebu nisaidie ufafanuz mhe.ZZK
 
Nahisi manji anamtumia uyu mwanasiasa kanjanja kwasababu hii ishu ya tigo manji kabanwa na uyu mwanasiasa kanjanja ndio mtetezi wake kwa sasa, je amelipwa tshs ngapi kumtetea?
Umeona Zitto anatumika na kwa kuwa sasa hivi hakuna bahasha toka kwa JK basi hata mizoga anarukia, hii itamwaibisha asipokuwa makini
 
Zitto sio wakuaminika , hiyo mambo ya tax heaven ilikuwepo toka zamani Kama alivyo elezea pamoja Na huo uuzwaji Kinyemela kwa shares Za serikali Na hakuwahi kulipigia Kelele Hapo awali Na alikuwa kwenye kamati ya Bunge ya mahesabu ya mashirika ya umma Na serikali iweje atake uchunguzi Sasa Baada ya tukio la Manji??
Huyo
Mh ni mchumia tumbo sijapata kuona
 
Back
Top Bottom