Zitto: Magufuli halipi kodi. Amtaka atangaze mali zake na madeni yake

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,846
5,057
b6eaeca142604de663751ede7b590978.jpg
 
Mtanzania ni Gazeti la Rostam Aziz.
Rostam Azizi alikuwa Mwenykt wa Kampeni za Lowassa.
January Makamba alikuwa kwenye Task force iliyosambaratisha Ndoto za Lowassa.
Team Mafisadi inajiandaa kwa uchaguzi 2020 hivyo basi inajaribu kutaka kuidhoofisha Taskforce ya Magufuli ndio sababu tangu mwanzo walijaribu kumfitinisha Magufuli na January kupitia Kipeperushi kilichofutwa cha Mawio. Leaks Muitaliano atapeliwe Mabilion asije mwenyewe front amtumie mtu tena mtu mwenyewe Mange ambae hata wewe ukiwa na chochote unamtumia kama fee ya kumdhalilisha mtu yoyote umtakae.
Mwamvita ni staff wa hadhi ya juu vodafone South Africa kwa nn wasipeleke ushahidi wao Ili atemwe kazi na kufunguliwa kazi ya utapeli?
 
Wacha wee enheeeee
 
Na hapo ndo tunapowatofautisha waandishi wetu kama kibanda na Balile. Waandishi wenye kujua na kufuata kanuni za habari hufanya utafiti kwanza na si kupata habari mitandaoni then unaandika tu bila kujua ukweli na uongo wake.
Kibanda ni mwandishi? mhariri?
 
Mtanzania ni Gazeti la Rostam Aziz.
Rostam Azizi alikuwa Mwenykt wa Kampeni za Lowassa.
January Makamba alikuwa kwenye Task force iliyosambaratisha Ndoto za Lowassa.
Team Mafisadi inajiandaa kwa uchaguzi 2020 hivyo basi inajaribu kutaka kuidhoofisha Taskforce ya Magufuli ndio sababu tangu mwanzo walijaribu kumfitinisha Magufuli na January kupitia Kipeperushi kilichofutwa cha Mawio. Leaks Muitaliano atapeliwe Mabilion asije mwenyewe front amtumie mtu tena mtu mwenyewe Mange ambae hata wewe ukiwa na chochote unamtumia kama fee ya kumdhalilisha mtu yoyote umtakae.
Mwamvita ni staff wa hadhi ya juu vodafone South Africa kwa nn wasipeleke ushahidi wao Ili atemwe kazi na kufunguliwa kazi ya utapeli?
Mwamvita ana nafasi gani serikalini? unahororoja tu
 
...Kosa la mleta mada ni kwamba katubandikia kichwa cha gazeti tu hapa pasipo ingalau yeye aliyesoma kutupatia kilichomo humo ndani. Nafikiri ni kwa kudhani wote tumesoma au tunaweza kilisoma gazeti hilo

...Kosa jingine na sisi wachangiaji tumetoka nje ya mada na kuanza kushambulia kitu kingine badala ya msingi wa hoja, kwamba, rais analipa kodi kupitia mshahara wake? Ametangaza mali zake? ....yes, yeye si ndiye mtumishi wa umma namber one bwana?

...Tunataka tufahamu, je ktk mshahara wa Rais wa $16,000 kila mwezi, anakatwa kodi ya PAYE kiasi gani?

...Ni hilo tu, nothing more, nothing less. Mimi mshahara wangu ni $540 kila mwezi na kodi ya PAYE kutoka hapo ni $90 sawa na Tshs. 180,000/=, yeye analipa ngapi toka kwenye zake $16,000???
 
Back
Top Bottom