Yaweza kuwa kahusika au hajahusika ila yampasa atoe ushahidi ili ajisafishe na tuhuma hzi kwa maana kila mtu anayo haki[/
upande wa kuthibitisha upo kwa wanaomtuhumu!
Shwaini wote wanao shabikia upepo. Huu ni upepo tu na utapita. Nguvu kazi ya taifa mnaipoteza kuanzisha thread zinazzohusu zito. kila mara zito pfuuuuuuuu
Yaliyosemwa kwenye waraka wa siri yote ni kweli,swali linakuja kaandika zitto kweli?
Mbowe hana sifa ya kuwa pale na slaaa mwenyewe,namuunga mkono zittom kama kweli ripot imeeandikwa na yeye
Yaliyosemwa kwenye waraka wa siri yote ni kweli,swali linakuja kaandika zitto kweli?
Mbowe hana sifa ya kuwa pale na slaaa mwenyewe,namuunga mkono zittom kama kweli ripot imeeandikwa na yeye
Waraka nimeusoma neno mpaka neno na nukta mpaka nukta. Aliyoyasema ni ya ukweli mtupu kabisa kinachomfanya aonekane msaliti ni njia aliyopanga itumike kwenye kuleta hayo mabadiliko.ukweli unauma, ila Zito umebugi meen!