assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Tena atakuwa ni zaidi ya mwanasiasa hata mwisho wake kisiasa atakuwa zaidi ya siasa.Kwa style hii lazima Zito azidi kuwa maarufu
nguvu ya umma hiyonguvu ya huyu jamaa ni kiboko hata chadma lazima wajiulize zaidi ya maswali waliyokuwa wanajiuliza kwa sasa nguvu na uwezo wake ndipo vimeonekana bayana kabisa.
Kwa style hii lazima Zito azidi kuwa maarufu
always anazungumza anachokimaanishamwenendo wake ni kinyume na maneno yake!
Hata ant Abuu alikua maarufu
huyu jamaa ananguvu ya umma hujatambua mpaka sasazitto ni mwanasiasa uchwara
tena atakuwa ni zaidi ya mwanasiasa hata mwisho wake kisiasa atakuwa zaidi ya siasa.
Nguvu ya huyu jamaa ni kiboko hata chadma lazima wajiulize zaidi ya maswali waliyokuwa wanajiuliza kwa sasa nguvu na uwezo wake ndipo vimeonekana bayana kabisa.
nguvu ya uma inakutisha hio ndio cdm babainawezekani kuwa ni kiboko cha ccm... Lowassa kaa chonjo..
kwa style hii lazima zito azidi kuwa maarufu
nguvu ya uma inakutisha hio ndio cdm baba
wapi ameungumza ukabila na udini huyu ni mbunge wa kitaifa ukabila wala udini hauna nafasi acha propagandakaka zito tumia busara achana na kuhubiri siasa za kikabila na kidini wewe ni role modal wa vijana wengi unakumbuka ccm ndio walikuwa wanahubiri udini na ukabila ila leo nkamia na ndugai wanalalamika ukabila katika mgogoro wa aedhi kiteto