ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,311
- 4,042
Thibitisha ewe Ben Saanane.Yanayoratibiwa na meneja kampeni wa Rostam Aziz wa Igunga na Mwanadada wa Familia ya Sarungi akishirikiana na mtoto wa Kapuya?
La.kuvunda halina ubani atadondoka tu hawezi kwenda kinyume na mapenzi ya mungu...lazima atadondoka tu.mifano ya watu sampuli ya zito ipo mingi na walivyoishia tunajua ni suala la muda tunauliza tu hivi zitto aliwahi kufanya ziara za aina hii mwaka gani, yaani ziara zisizo na itikadi ya chama (chadema) , kwanini wakati huu??
dogo anafukuzwa na hakuna kitakachotokea.niijuavyo mimi cdm haina cha kuficha.Cdm damu tumeshamjua kuwa ni msaliti na siku anaondolewa wengine tutasherekeaHahaha CDM,Hata mkimfukuza ZZK uanachama hakika atawaacha na majeraha makubwa coz ana siri nzito juu ya CDM na kwa kua jamaa nae huwaga ana genuine data cku akizishusha CDM kwisha kabsa
Yanayoratibiwa na meneja kampeni wa Rostam Aziz wa Igunga na Mwanadada wa Familia ya Sarungi akishirikiana na mtoto wa Kapuya?
Taarifa nilizo zipata muda mchache uliopita ni kuwa teamwork ya mwana siasa machachari,kijana, mwenye mvuto, anayependwa na vijana wengi hapa nchini Zitto Zuberi Kabwe imewasili mjini Tabora kwa ajili ya kuratibu mapokezi ya mwanasiasa huyo ambapo anategemea kuwasili mjini Tabora siku ya Jumamosi.
Ukiona jina Zitto una panic kijana angalia usije ukapata "stroke"
Yaaani huyu jamaa ni kero
kweli naomba sana afukuzwe chadema na wafuasi wake waende naye waone km
tutatetereka..huyu ni mamluki tu tamaa ya madaraka imemjaa hana
lolote..yaaani i wish..ninge.mmmm....za
CDM ni taasisi kubwa,wakati munapiga ramli cc makamanda tupo field na CDM NI MSINGI!
Yaaani huyu jamaa ni kero kweli naomba sana afukuzwe chadema na wafuasi wake waende naye waone km tutatetereka..huyu ni mamluki tu tamaa ya madaraka imemjaa hana lolote..yaaani i wish..ninge.mmmm....za
Tulia na uandike vema, hakuna neno "haende" katika lugha ya Kiswahili, iwe ni sanifu au fasihi halipo neno hilo bali lipo neno "aende au waende au tuende".Haende mpaka vijijini, anaogopa nini kwenda mpaka vijijini
Tulia na uandike vema, hakuna neno "haende" katika lugha ya Kiswahili, iwe ni sanifu au fasihi halipo neno hilo bali lipo neno "aende au waende au tuende".
Isije kuwa ni ghadhabu juu ya kulisikia jina la Zitto likishamiri, tofauti na ilivyofikiriwa.
Zzk your career is over like Mike anyone Tyson,Jackson,Jordan.