Zitto kutua Tabora Jumamosi: Mapokezi Makubwa yamsubiri

Status
Not open for further replies.
kudadek!
Lazima wamiliki wa kampuni ya CDM wajutie maamuzi yao. Pindipo Mh ZZK akiondoa hisa zake juhudi na matarajio yao yote yatabakia kuwa hewa.
 
La.kuvunda halina ubani atadondoka tu hawezi kwenda kinyume na mapenzi ya mungu...lazima atadondoka tu.mifano ya watu sampuli ya zito ipo mingi na walivyoishia tunajua ni suala la muda tu

Mkuu ngoja nikusaidie kidogo'' ziara hizi ni za kutafuta wanachama wa chama ambacho kitasajiriliwa wakati wowote kuanzia sasa'' Nafikiri hilo CDM wanalijua kabisa.
Na anaomba moyoni afukuzwe wakati ameishamaliza mzunguko wa kutosha!
 
Hahaha CDM,Hata mkimfukuza ZZK uanachama hakika atawaacha na majeraha makubwa coz ana siri nzito juu ya CDM na kwa kua jamaa nae huwaga ana genuine data cku akizishusha CDM kwisha kabsa

mwambie azito kama anazo,usiwe unashabikia kitu usicho kifahamu.
 
Obviously Zitto anapita kusafisha Damage ya Dr.Slaa, Hiki Chama Kazi wanayo,yani hakuna mwenye afadhali,wote vurugu tu. kweli mtoto halali na pesa,ukosefu wa busara za ki- CCM unaonekana waziwazi kwa hawa ndugu wa CHADEMA.
 
Taarifa nilizo zipata muda mchache uliopita ni kuwa teamwork ya mwana siasa machachari,kijana, mwenye mvuto, anayependwa na vijana wengi hapa nchini Zitto Zuberi Kabwe imewasili mjini Tabora kwa ajili ya kuratibu mapokezi ya mwanasiasa huyo ambapo anategemea kuwasili mjini Tabora siku ya Jumamosi.

Karibu mwanetu Tabora karibu nyumbani pole na matatizo ya kubaguliwa usijali mara zote dhambi ya ubaguzi huwarudia wenyewe.
 
Tulia na uandike vema, hakuna neno "haende" katika lugha ya Kiswahili, iwe ni sanifu au fasihi halipo neno hilo bali lipo neno "aende au waende au tuende".

Isije kuwa ni ghadhabu juu ya kulisikia jina la Zitto likishamiri, tofauti na ilivyofikiriwa.

Na wewe hapo kwenye neno "Sanifu" ilistahili kuwa "Sarufi"
 
nauliza tu hivi zitto aliwahi kufanya ziara za aina hii mwaka gani, yaani ziara zisizo na itikadi ya chama (chadema) , kwanini wakati huu??

Zitto anakwenda kufuta porojo za Padri alie laaniwa anapita akisema uongo, anawahimiza watu wanywe gongo. Je hiyo sio laana hiyo! Ndio maana wanaamua kupopoa kwa mawe na upuuzi wake.

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
Nampongeza dr kitila mkumbo kwa ukimya wake,kweli kuna kusoma kwa faida na kusoma kwa hasara........

Kitila nihaki yake yeye kukaa kimya sababu yeye ndo kaandaa Waraka!Zitto hana Kosa ndomana anajibu wanamchafua
 
elimu yote ya zitto imetokomea ! Sasa yuko kama tambara la deki , kweli maisha kabla hujafa hujaumbika !
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom