Zitto kurudi Bungeni ni ndoto!

Ndio shida ya masikio kuzidi kichwa, zito, slaa imebaki historia ingawa wako hai.
 
Zitto ni mzito wa kuelewa na mwepesi wa kusahau,amesha likoroga acha alinywe ikibidi ampe na Slaa alinywe ili liwauwe wote.Zitto na Slaa ni vibaraka wa ccm mwaka huu october 25 tunawazika wote na ccm yao kaburi moja.Watz tunahitaji mabadiriko,ccm aliianzisha Nyerere sasa imezeeka,inanuka rushwa,ufisadi na uonevu.Lowasa njoo utuokowe baba tuna umia,escrow wale wao michango ya maabara tutowe sisi wananchi haya ni majanga.
 
Japokuwa mimi ni ukawa ila naamini Zitto anatakiwa kurudi bungeni. Hii ni pamoja na upopo wake.
 

unachekesha ile mbaya
 
Haya mabadiliko ya kuwatoa bungeni kina Zitto na kuwaingiza kina kingwendu hayana, na hayastahili kupewa nafasi.
 
mgombea yoyote nje ya UKAWA hawezi kushinda chochote .
 
Japokuwa mimi ni ukawa ila naamini Zitto anatakiwa kurudi bungeni. Hii ni pamoja na upopo wake.
Anahitajika sana, hasa ikizingatiwa tunaoletewa na ukawa ni hawa kina kingwendu.
 
Ni mtizamo wako tu

Hivi unajua baadhi ya watz akili zao zipo kama saa zinabadilika kila sekunde, dakika,saa hadi siku ndivyo tulivyo tunaendeshwa kimatukio

Mfano lowassa na ugombea wa uraisi tena kwa chama ambacho kimejengwa kwa misingi ya kukemea rushwa na ufisadi lakini leo ametwist akili za watu leo ni lulu lowassa pamoja na kashfa zake..

Humu jf Id ambazo ni kongwe nyingi hazimtetei ila kuna baadhi zinamtetea kwa maslahi yao

Hii ndo siasa za tz ni unafiki tu mwanzo mwisho
 

Wwe ni juha, acha siasa za mahaba. Zito ni mtu na mwanasiasa makini. Anastahili sana kuwepo bungeni.Ni miongoni mwa watu ambao tuwaombea kwa Mungu washinde uchaguzi huu na kuwepo bungeni.
 
kwa ujumla jamaa hawezi kupita kwenye uchaguzi huu..ila atakuja kupata nafasi ya kuteuliwa na raisi. Ila kwenye kura ameshapotea..
 
Japokuwa mimi ni ukawa ila naamini Zitto anatakiwa kurudi bungeni. Hii ni pamoja na upopo wake.

Hapana asirudi tu, pale Kigoma mjini kuna jembe LA UKAWA wacha.lichukue nafasi yake, tumechoka na wasaliti!
 
Anahitajika sana, hasa ikizingatiwa tunaoletewa na ukawa ni hawa kina kingwendu.

hivi mkuu nje ya usanii unafahamu ni ni kumhusu kingwendu? je,unaweza kuthibitisha we we ni bora kuliko yeye? Arnold Shwazineger alikuwa muigizaji tu lkn aliwaangusha wangapi had kuingoza California mpaka alipostaafu kikatiba? kingwendu ni msomi na taaluma ya uhasibu.usimdharau MTU kwa kazi anayofanya mkuu
 
Vyama vyote ambavyo ni Anex za CCM vitapotea soon kadhalika vibaraka wa CCM wataumbuka muda si mrefu!
 

Kale malimao lakini Lowasa ndiye rais wetu
 
Nitajie chuo alichosomea na level ya huo uhasibu wake.
 

Mwami wanyu!
 
Tarehe 25 October itakuwa kama kilimanjaro Music awards. Nandiyo siku itakuwa manabii wa uogo kujinyakulia umarufu na wacha Mungu, kumuomba Mwenyez Mungu atuongoze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…