Kwa hali halisi tuliyoiona Kigoma Jimboni kwa Zitto Kabwe kuna kila dalili huyu kiongozi akaukosa Ubunge mwaka huu,tumetembea sehemu mbalimbali na tukafanya mazungumzo na wananchi wengi kuna kila dalili Zitto akashindwa kurudi bungeni,wananchi wengi wanashangaa Zitto kutokuwa na muda wa kufanya kazi jimboni na kujihusisha zaidi na mambo ya kitaifa huku akisahau wananchi waliomchagua,wengine wanadai ni kwa nini awe msaliti wa chama kilichomjenga na wanaonyesha dhairi wanaichukia ccm ambayo Mbunge huyo anashutumiwa kutumiwa ili kuharibu harakati za mabadiliko,kwa kweli Zitto ana kazi kubwa sana kwani hawa wana Kigoma wanaonekana wameamka na wanajitambua kwelikweli!

Kila zama na kitabu chake.
Zama za Zitto na Dr Slaa zinapita japo ni kwa kasi sana.
waambie kuwa waliona pale ambapo KAFULILA alisema habari kuhusu zzk kilichomkuta, atahadithia mwenyewe.Nyie mnaota mchana kweupee,zitto ndio mfalme wetu kigoma ,our icon, zitto si tu kama ameleta maendeleo bali ametupa heshima kubwa sana Mkoa Wa kigoma,hata akipofuka macho lkn Bungeni ni lazima arudi,hlf siasa za wanakigoma mtuachie sisi mwenyewe,sisi hatupelekwi pelekwi kama Nyumbu, sisi kigoma siku zote huwa tunajua nn tunataka na yupi anatufaa,poleni sana nyumbu nyie angaikeni na Dr slaa sasa HV ila zitto mumuache kama alivyo
Nyie mnaota mchana kweupee,zitto ndio mfalme wetu kigoma ,our icon, zitto si tu kama ameleta maendeleo bali ametupa heshima kubwa sana Mkoa Wa kigoma,hata akipofuka macho lkn Bungeni ni lazima arudi,hlf siasa za wanakigoma mtuachie sisi mwenyewe,sisi hatupelekwi pelekwi kama Nyumbu, sisi kigoma siku zote huwa tunajua nn tunataka na yupi anatufaa,poleni sana nyumbu nyie angaikeni na Dr slaa sasa HV ila zitto mumuache kama alivyo
Umepaniki mkuu... zitto ameleta maendeleo kigoma kwa fedha zake za mfukoni? Maendeleo yameletwa na serikali. Pia Acha ubaguzi wa kimkoa kusema siasa za kigoma waachiwe wakigoma wenyewe. Halafu mtoa hoja hakuna sehemu amemtaja Dr slaa ni wewe tu umekurupuka.