Zitto kuhutubia Shinyanga leo

Zitto kuhutubia Shinyanga leo

hata akizunguka nchi nzima yeye bado nimnakfi tu na wala hatupi shida chadema


Hawapi shida kivipi?Mnachukua hatua? au ndio wimbo wenu wa kumuachia Mungu. Huyu mtu asipoondoka CDM mmekwisha....
 
Tutakuwa pamoja nguzo 8

unapokabiliana na serikali za Africa inabidi uwe serikali pia. Hongereni CDM kugundua mbinu za wanaodhani namba moja milele inawezekana.
Laiti Hayati J.K. Nyerere angekuwepo angewashukuru kwa harakati zenu za kupambana na Ujinga kwani ni moja ya maadui wa taifa hili!.
Hongereni dana,.!
 
Huna lolote we mbulula. Na hayo majitu ya kasikazini yakae yakijua ikulu hayakanyagi. Nyerere aliacha amekataza haya mabinafsi yasikanyage ikulu.

Kwani hii nchi ya Nyerere?. Au Baba Yake Nyerere? Pinda mkubwa
 
Zitto anafanya kazi ya kukijenga chama,hatupashwi kumkejeli au kudharau juhudi zake kisa ana tuhuma.Tusiwe wepesi kuhukumu,All the best Zitto,People`s power.
 
-------- (sio tusi as it was said by judge Luvanda in the case of Sugu V.Pinda) anajenga tofali mbili anabomoa kumi .
 
Back
Top Bottom