hata akizunguka nchi nzima yeye bado nimnakfi tu na wala hatupi shida chadema
hata akizunguka nchi nzima yeye bado nimnakfi tu na wala hatupi shida chadema
Peleke ushetani wako kwa shetani mwenzio Mwigulu!Awe makini na red brigade ya slaa isije msababishia majeraha.
hata akizunguka nchi nzima yeye bado nimnakfi tu na wala hatupi shida chadema
hata akizunguka nchi nzima yeye bado nimnakfi tu na wala hatupi shida chadema
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh. Zitto Kabwe leo majira ya saa 9 mchana atuwahutubia Wananchi wa Shinyanga Mjini (kuwasilimu) akiwa njiani kuelekea Mkoani Mwanza. Wote mnakaribishwa
sio wanaCDM wote tunaomuona kama unavyomuona wewe, kwetu sisi huyu bado ni kiongozi wetu, ni NAIBU KATIBU MKUU WETU, hizo tuhuma zenu za kihunihuni mlizoamua kumtengenezea huko vichochoroni hazituumizi vichwa.
siku chama kitakapothibitisha ana makosa, kitatufahamisha na hatua za kuchukuliwa, bila shaka katiba yetu ya CDM ipo wazi na haifichifichi mambo kama kama nyie mamluki mliojipachika uanachama wa CDM huku mkichangia kukigawa chama kwa kubagua viongozi kwa malengo mnayoyajua nyie.
sio wanaCDM wote tunaomuona kama unavyomuona wewe, kwetu sisi huyu bado ni kiongozi wetu, ni NAIBU KATIBU MKUU WETU, hizo tuhuma zenu za kihunihuni mlizoamua kumtengenezea huko vichochoroni hazituumizi vichwa.
siku chama kitakapothibitisha ana makosa, kitatufahamisha na hatua za kuchukuliwa, bila shaka katiba yetu ya CDM ipo wazi na haifichifichi mambo kama kama nyie mamluki mliojipachika uanachama wa CDM huku mkichangia kukigawa chama kwa kubagua viongozi kwa malengo mnayoyajua nyie.[/QU
haujui kitu mamdogo tulia, jiulize kwann baada ya chdema kuweka wazi mawasiliano ya zitto kushilikiana na usalama wa taifa kukihujumu chadema soon after that wafanyakazi wa Tigo walifukuzwa kazi ?Zitto ni mnafki anayetumiwa na CCM na ndio maana wanao mtetea kalibia wote ni wanachama wa chama cha mapinduzi ,kwani wanajua kuumbuka kwa zitto ni km kutegua mtego wao walio utega ndani ya chadema