Hata urais aliutaka. Fuatilia kampeni za Mwaka 2010 wakati Slaa anagombea, zitto akatangaza rasmi 2015 atakuja Kigoma kuomba kura za urais. Pia baada ya uchaguzi wa 2010 alitaka kuwa Kiongozi wa Kambi ya upinzani bungeni.
Chama kikuu Cha upinzani chenye kura 90,000 za urais? Be seriousKweli kabisa bunge lilimkosa mbunge mahiri wa chama kikuu cha upinzani bara na visiwani!
Hiyo ni current kabisaH8i picha ni ya mwaka gani? Mbona alikua kachoka
Kina wabunge wangapi ndani ya bunge la jamhuri ya muungano!Chama kikuu Cha upinzani chenye kura 90,000 za urais? Be serious
Na picha hii ndiyo anaonekana kufanana sana na mkongomani mwenzake Ibrahim Haruna LipumbaH8i picha ni ya mwaka gani? Mbona alikua kachoka
Atapewa kwa hisani π πKiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametangaza rasmi nia yake ya kugombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 huku akisisitiza kuwa kwa vyovyote vile anataka kurudi Bungeni kwasababu anaamini miaka mitano hii Bunge limerudi nyuma kwa sababu ya kutokuwepo kwa Wabunge wa upinzani.
βNagombea Ubunge, kuhusu Vijana sijawazuia kugombea, mwaka 2020 nilienda kwenye kura za maoni na Abdul Nondo kwahiyo 2025 anaweza kugombea pia, Chama chetu ni cha kidemokrasia mno yaani mambo yanayofanyika ACT huyaoni kwenye Vyama vingine, siamini kama kuna Chama kingine ambacho Kiongozi wake wa Kitaifa anagombea kwenye Jimbo Mwanachama yoyote tu anaweza akatokea akaenda kugombeaβ
βMwaka 2020 nimeenda kwenye kura za maoni na Mdogo wangu Abdul, mwaka 2025 akitaka atakuja kwenye kura za maoni na Wajumbe wakimchagua yeye atakuwa Mgombea na nitatembea kumuunga mkono na wakiona niendelee kwasababu Mimi kwa vyovyote nataka nirudi Bungeni kwasababu naamini miaka hii mitano ambayo hatupo Bunge limerudi nyuma kwahiyo tungependa kurejesha la kabla ya mwaka 2015β β Zitto
Credit-MillardAyo
Watu wenye IQ kubwa huwa sio mahandsome π π ππHuyu jamaa ana mvuto sana hata akigombea Urais Samia haoni ndani View attachment 2898697
Akigombea na Samia, Zitto Kabwe anashinda saa nne asubuhi.Watu wenye IQ kubwa huwa sio mahandsome [emoji28][emoji28][emoji120][emoji120]
Inawezekana πAkigombea na Samia, Zitto Kabwe anashinda saa nne asubuhi.
πππNa picha hii ndiyo anaonekana kufanana sana na mkongomani mwenzake Ibrahim Haruna Lipumba
Hao wabunge wako wapi? Umewahi hata kuwasikia?. Kuna kipindi CHADEMA ilikuwa Ina wabunge 5 ila waliwafahamika nchi nzima.Kina wabunge wangapi ndani ya bunge la jamhuri ya muungano!
Majimboni kwao wanafahamika!Hao wabunge wako wapi? Umewahi hata kuwasikia?. Kuna kipindi CHADEMA ilikuwa Ina wabunge 5 ila waliwafahamika nchi nzima.