Ni mwaka gani Zitto hakugombea Ubunge ?Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametangaza rasmi nia yake ya kugombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 huku akisisitiza kuwa kwa vyovyote vile anataka kurudi Bungeni kwasababu anaamini miaka mitano hii Bunge limerudi nyuma kwa sababu ya kutokuwepo kwa Wabunge wa upinzani.
“Nagombea Ubunge, kuhusu Vijana sijawazuia kugombea, mwaka 2020 nilienda kwenye kura za maoni na Abdul Nondo kwahiyo 2025 anaweza kugombea pia, Chama chetu ni cha kidemokrasia mno yaani mambo yanayofanyika ACT huyaoni kwenye Vyama vingine, siamini kama kuna Chama kingine ambacho Kiongozi wake wa Kitaifa anagombea kwenye Jimbo Mwanachama yoyote tu anaweza akatokea akaenda kugombea”
“Mwaka 2020 nimeenda kwenye kura za maoni na Mdogo wangu Abdul, mwaka 2025 akitaka atakuja kwenye kura za maoni na Wajumbe wakimchagua yeye atakuwa Mgombea na nitatembea kumuunga mkono na wakiona niendelee kwasababu Mimi kwa vyovyote nataka nirudi Bungeni kwasababu naamini miaka hii mitano ambayo hatupo Bunge limerudi nyuma kwahiyo tungependa kurejesha la kabla ya mwaka 2015” — Zitto
Credit-MillardAyo
mbona anazidi kubabuka uso ni kama vile ana expire.Zitto atapewa hela za kugombea uraisi,ili akagawe kura za mgombea halisi wa upinzani kwa kua atakua mwanaume. ACT hawawezi kuweka mgombea wa kike maana atapunguza kura za wanawake kwenda kwa Samia.
Pandikizi kwenye new assignment.
View attachment 2898693
Dah 😃😃😃😃mbona anazidi kubabuka uso ni kama vile ana expire.
Uraisi hautaki yeye?
😂😂😂Dah 😃😃😃😃
eti ana expire
ACT Andaa Chakula TuleKiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametangaza rasmi nia yake ya kugombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 huku akisisitiza kuwa kwa vyovyote vile anataka kurudi Bungeni kwasababu anaamini miaka mitano hii Bunge limerudi nyuma kwa sababu ya kutokuwepo kwa Wabunge wa upinzani.
“Nagombea Ubunge, kuhusu Vijana sijawazuia kugombea, mwaka 2020 nilienda kwenye kura za maoni na Abdul Nondo kwahiyo 2025 anaweza kugombea pia, Chama chetu ni cha kidemokrasia mno yaani mambo yanayofanyika ACT huyaoni kwenye Vyama vingine, siamini kama kuna Chama kingine ambacho Kiongozi wake wa Kitaifa anagombea kwenye Jimbo Mwanachama yoyote tu anaweza akatokea akaenda kugombea”
“Mwaka 2020 nimeenda kwenye kura za maoni na Mdogo wangu Abdul, mwaka 2025 akitaka atakuja kwenye kura za maoni na Wajumbe wakimchagua yeye atakuwa Mgombea na nitatembea kumuunga mkono na wakiona niendelee kwasababu Mimi kwa vyovyote nataka nirudi Bungeni kwasababu naamini miaka hii mitano ambayo hatupo Bunge limerudi nyuma kwahiyo tungependa kurejesha la kabla ya mwaka 2015” — Zitto
Credit-MillardAyo
Si Mwenyekiti wake Sa100 bado 5 tena?mbona anazidi kubabuka uso ni kama vile ana expire.
Uraisi hautaki yeye?
Kaufyata sasa hivi kama sio yeye aliekuwa anakosoa kila kitu. Tumbo limepata chakula kabakia kubabuka ngozi tu.Si Mwenyekiti wake Sa100 bado 5 tena?
Aliwahi kupata ajali ya kuungua moto?Huyu jamaa ana mvuto sana hata akigombea Urais Samia haoni ndani View attachment 2898697
Roho mbaya tu ndiyo inambabua ngoziAliwahi kupata ajali ya kuungua moto?
Hagombei au anagombea?Roho mbaya tu ndiyo inambabua ngozi
Kijipima kaona hawezi. Hata ubunge hapatiSiku hizi hataki urais?. Kipindi yupo CHADEMA kila mara anatishia kutaka kugombea urais.