:fish2: Mh.Zitto achana na akina Slaa na genge lake ,hao ndio wale wale ving'ang'anizi wasio penda kuachia vijana kuliongoza Taifa hili ,ukibakia hapo utafariki ukijiona.
La muhimu ni kuwa Chama kinakungojea kwa hamu kabisa na safari hii ni zamu ya NCCR kuongoza na kuunyakua uongozi wa kuliongoza Taifa hili la Tanzania kwa kishindo.
Najua wapo watakao beza rasimu hii ya kumkaribisha mheshimiwa Zitto katika mageuzi kwani si jambo la kulitegemea sana kwa upande wao ,waonavyo eti wamemzibiti ,nawambia huko ni kujidanganya.
Kuhusu Mwenyekiti wa NCCR aliepo ,tayari ameshaonyesha dalili za kustaafu au kubakia katika benchi la viongozi wazee wa Chama.

Angalau sasa Jamii Forums kumeanza kuwa na watu wenye kuona mbali hususana katika siasa za Tanzania. Mimi nawashangaa sana Watanzania wanaomuona SLAA kama mungu wao, wakati ana historia chafu sana katika suala zima la siasa na hata katika maisha binafsi. Hatufahamu mpaka leo kwa nini aliacha kuwa mtumishi wa mungu na kujihusisha na masuala ya siasa. Alijiunga na siasa baada ya kushindwa kura za maoni akiwa CCM kule karatu, ana tofauti gani na akia Shibuda, Mpendazoe na wengine wa aina hiyo? mbona wao hawafagiliwi hivyo kama issue ni kuhama CCM? Mpaka leo hakuna ajuae mstakabali wa ndoa yake na Rosmary Kamili baada ya kupata kimwana Josephine. Slaa ni mpaykaji sana na tena wazi wazi anakuwa anonesha kuwa ana wivu wa kutaka kulipiza visasi pale anapokosa kitu fulani. Mimi nadhani CDMA chini na MBOWE na SLAA si chochote zaidi utawala wa mabavu na majigambo majukwaani, Kukashfu na kukebehi juhudi za serikali za kuwaletea wananchi maendeleo jambo ambalo kwa kweli ni chanzo cha maisha duni kwa watanzania na kwa bahati mbaya watanzania hawajalishtukia hilo. Zitto kuendelea kuwepo pale CDM ni kama kujichimbia kaburi.

Umejuaje kuwa sio ajuza? Kwangu mie naona huyu ni zaidi ya ajuza. Fatilia mabandiko yake humu lazima utanipiga na Like... kijana mdogo kama huyu (Mwiba) anapoanza kufikiri kama ajuza ujue kuna tatizo katika kijiji anamotoka!!
Zitto analielewa suala la kafulila ,zaidi hata Hamad rashid ambae alihitajia kujiunga na NCCR akawekewa sharti la kutokugombania nafasi yeyote ile na atakubaliwa kama mwanachama wa kawaida kutokana na kashfa zilizomkabili huko CUF ila kwa Zitto mambu ni tofauti kabisa ,kuna vitu vichache kicham ndivyo vinavyowekwa sawa,hapa si pahala pake kuelezea.kafulila mmemshindwa zito mtamuweza?