Jamani Zito Kabwe mbona siku hizi kapoa sana sio kama mwanzo au ndio kamwachia mnyika au kulikoni

Duh! Posti ya kwanza tu unaanza kwa kutaka kujadili watu!...
Zitto toka alipobambikiwa bajeti yenye mapato "0" hana hamu na "software" ya mahesabu ya chadema, made by Josephine.
Huko wapi?kweli yupo huku alitakiwa atoe speech jana
Zitto toka alipobambikiwa bajeti yenye mapato "0" hana hamu na "software" ya mahesabu ya chadema, made by Josephine.
Khaaaaaaaaa! mkuu posti ya kwanza tu umeanza na Zitto?